27/01/2017
Mh.Godbless Lema
"Mimi nasema Watanzania Msiogope Kwani Giza
nene Linapozidi Ndipo Asubuhi Hukaribia Mateso,
Dhihaka, Dharau, Kejeli, Vipigo na Mauwaji ni
Mambo Yanayoumiza Mioyo Yetu na Yenu sana,
Tunatembea na Uchungu Katika Mioyo Yetu Lakin
Vumilieni Bado Kitambo Kidogo Sana Mungu
Mwenyewe Ataanza Kulipa Kisasi Mwenyewe,
Vumilieni Tena Vumilieni Hakuna Dola Inayotesa
Watu Wake Itakayosimama Mahali Popote
Duniani.. TIME WILL TELL..."
12/01/2016
Kidumu Chama cha Makuburu---CCM---
Wabaguzi
20/06/2014
"Mh. Rais, Mama Theresa, Nelson Mandela, Martin Luther Jr na Malcom X Hawakuwa Wabunge Kupigania Haki Za Nchi Yao na Watu Wao, Sihitaji Ubunge Kupigania Ukweli, Haki na Utu. Nahitaji Dhamira Safi, Nia Njema na Huu Utakuwa Wajibu Wangu Mpaka Nakwenda Kaburini, Nitakapo Maliza Mbio Hizi Najua Nitapata Fursa Ya Kutazam Nyuma Yangu Nione Nini Nilifanya, Ukweli Nisingependa Kuona Vituo vya Mafuta, Maghorofa, Magari na Viwanja Vingi Kila Kona Ya Nchi Bali Ningependa Kuona Haki, Usawa na Utu Vikiwa K**a Nguzo Ya Imani Ya Watawala Wetu Watakaokuwepo, Pengine Sitaishi Miaka Mingi Sana K**a Utachukizwa Sana na Waraka Wangu Huu Kwani Polisi, Usalama wa Taifa na Jeshi La Wananchi Wanakutii wewe, Hata Hivyo Siogopi Kufa Kwani Nisipokufa, Kesho, Nitakufa Siku Moja Ambayo Siijui, Napenda Kuishi Maisha Marefu Nimwone Mke na Mtoto Wangu K**a Itawezekana Lakini Kuliko Iwezekana Kwa Kuishi Kwa Hofu Ni Bora Ishindikane Kwa Kuthamini Haki"
MANENO HAYA YA KAMANDA LEMA HUNIFANYA NITAFUTE HAKI POPOTE ILIPO BILA KUJALI Ni VIKWAZO GANI NTAKUMBANA NAVYO.
01/06/2014
Chakula Cha Fikra Hicho Tusonge Mbele Makamanda, Ukombozi Umekaribia..
12/03/2014
Hongera Sana Mhe.Sitta, Mzee wa Viwango na Kasi, Ni Matumaini Yetu Kuwa Utaendesha Bunge Kwa Kiwango na Kasi Tunayoitegemea, Naamin Kabisa Utafanya Kazi Kwa Kuzingatia Kanunu na Si Mtakwa Ya Waovu Wachache...
09/03/2014
Kutoka Chalinze...
Nasikia Chalinze Kutakuwa na Kampeni Za BMW - {Baba,Mama na Watoto} Patamu Hapo Ngoja Tusubiri. ~~Ahsanten Cuf.
26/02/2014
Katiba ni Yetu,
Taifa ni Letu,
Taifa ni Letu,
Katiba ni Yetu...
Husika Tupate Katiba Mpya.
Nafuatilia Uzinduzi wa Kampeni Ya Uelewa wa Rasimu Ya Katiba live ndani ya ITV..
24/02/2014
K**anda wa Anga
"Kwa Sasa Hakuna Kazi Iliyonyepesi na Rahisi K**a Kupambana na CCM, Kwani Mungu, Amewapiga Upofu Watawala na Hawaoni Tena Shida za Wananchi.~MH.MBOWE
23/02/2014
Kalenga Twendeni na Mwanamama Jasiri, Shupavu, na Shujaa Aliyeapa Kuwaletea Mabadiliko Ya Kweli Katika Jimbo la Kalenga.., Wanamabadiliko wote tupo nyuma Yenu.
21/02/2014
Mh.Godbless Lema
"Mimi nasema Watanzania Msiogope Kwani Giza nene Linapozidi Ndipo Asubuhi Hukaribia Mateso, Dhihaka, Dharau, Kejeli, Vipigo na Mauwaji ni Mambo Yanayoumiza Mioyo Yetu na Yenu sana, Tunatembea na Uchungu Katika Mioyo Yetu Lakin Vumilieni Bado Kitambo Kidogo Sana Mungu Mwenyewe Ataanza Kulipa Kisasi Mwenyewe, Vumilieni Tena Vumilieni Hakuna Dola Inayotesa Watu Wake Itakayosimama Mahali Popote Duniani.. TIME WILL TELL..."