Mwandet Secondary School
Karibu upate kilicho bora zaidi kwa malezi ya kijana wa kitanzania Shule ya sekondari mwandet ipo Mkoani Arusha wilaya ya Arumeru katika Kata ya Mwandet.
Jina la shule limebeba jina la kata nzima yenye vijiji vinne; Losikito, engutoto, Engalaoni na Imbibia. Shule ipo katika kijiji cha Imbibia. Shule hii imezungukwa na jamii ya Kimasai hivyo kuwa katika mazingira rafiki ya kusoma bila kuchangamana sana na tamaduni za mijini. Shule ipo umbali wa Kilometa 12 kutoka katika mji mdogo wa Ngaramtoni. Shule ina kidato cha kwanza mpaka cha sita, na wanafunzi takribani 800 wanaotoka maeneo mbalimbali ya Tanzania
KARIBU SANA MWANDET
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Address
Ngaramtoni
Arusha
14086
