Halmashauri ya Wilaya ya Baba
Babati District Council
Halmashauri ya Wilaya ya Babati ni mojawapo kati ya Halmashauri 2 za Wilaya ya Babati na ni moja kati ya Halmashauri 6 za Mkoa wa Manyara. Wilaya ya Babati
Wilaya ya Babati ilizinduliwa rasmi Julai mwaka 1986 baada ya kuanzishwa rasmi kwa tangazo la gazeti la serikali namba 403 la tarehe 1 Oktoba, 1985 la kugawanywa Wilaya ya Hanang’ na kuundwa Wilaya mbili za Babati na Hanang’. Mwaka 2004 Halmashauri ya Wilaya ya Babati iligawanyika na kuanzishwa kwa Halmashauri ya Mji kwa mujibu wa GN 352 ya tarehe 17 Septemba, 2004.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
P. O BOX 400
Babati
