Jimbo la Bagamoyo

Jimbo la Bagamoyo

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jimbo la Bagamoyo, Government Organization, Pwani, Bagamoyo.

idrisynewssiteblog.wordpress.com 20/03/2024

a. Iddi Nassoro Rajabu. Ni matumaini yangu ni mzima wa afya ndugu msomaji wa DUNDA KWANZA BLOG na karibu sana katika siku ya leo kwaajili ya kujifunza. Leo katika makala yetu tutajifunza Kanuni 6 za Mafanikio ambazo Kijana anapaswa Kuzifuata. Zifuatazo ni Kanuni 6 za Mafanikio ambazo Kijana wa sasa anapaswa Kuzifuata 1. Jiamini wewe Mwenyewe Vijana wengi mara nyingi hutafuta ushauri wa Mafanikio kwa watu mbalimbali ili kufanikiwa....

idrisynewssiteblog.wordpress.com a. Iddi Nassoro Rajabu. Ni matumaini yangu ni mzima wa afya ndugu msomaji wa DUNDA KWANZA BLOG na karibu sana katika siku ya leo kwaajili ya kujifunza. Leo katika makala yetu tutajifunza&…

idrisynewssiteblog.wordpress.com 20/03/2024

VCCM KATA YA DUNDA Na. Iddi Nassoro Rajabu Leo tarehe 03/09/2020 Kamati ya Utekelezaji ya umoja wa vijana wa ccm kata ya Dunda imekaa kikao chake kujadili maandalizi ya uchaguzi wa Chipukizi wa CCM ngazi ya matawi na kata unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 12/09/2023 (ngazi ya matawi ) na tarehe 17/09/2023 (ngazi ya kata). Kikao hicho kilikaliwa baada ya kupokea maelekezo na muongozo kutoka katika kamati ya uendeshaji ya chipukizi ya wilaya ya Bagamoyo ambapo Kamati hiyo ya uendeshaji ya chipukizi ngazi ya wilaya ilizitaka kamati za uendeshaji za chipukizi za kata mbalimbali za jimbo la Bagamoyo haraka iwezekanavyo kuitisha vikao vya kamati ya utekelezaji za jumuiya hiyo na kujadili agenda hiyo ya maandalizi ya uchaguzi wa chipukizi ngazi za matawi na kata....

idrisynewssiteblog.wordpress.com VCCM KATA YA DUNDA Na. Iddi Nassoro Rajabu Leo tarehe 03/09/2020 Kamati ya Utekelezaji ya umoja wa vijana wa ccm kata ya Dunda imekaa kikao chake kujadili maandalizi ya uchaguzi wa Chipuk…

Want your business to be the top-listed Government Service in Bagamoyo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Pwani
Bagamoyo
61301