: “Jumamosi sisi hatuna upande sisi tunaenda kumuangalia mchezaji wetu tu ikimpendeza mungu, Ni kweli kuwa tumetuma ofa ya Clement Mzize kwa klabu ya Yanga tunasubiri tuone k**a tutajibiwa lakini ubaoni imewekwa pesa ya kutosha, mshahara wa kutosha na maslahi yote ambayo anastahili mchezaji mkubwa k**a Mzize…
….sisi hatutekenyi na tulishaacha masihara zamani sana tuko siriazi sasa hivi, huu uwanja msimu ujao kutoka giants hao kuna wachezaji mtawaona k**a wakikubali kutupa, hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga kuna wachezaji wanne sisi tutakuwa nao msimu ujao wapo wazawa pia wapo wageni na baada ya ofa hii ya kwanza wiki inayoanza jumatatu itatumwa ofa nyingine na kuna mwingine ni special sana zaidi ya wengine’’ - Hasheem Ibwe.
Sadan sports
Michezo ndo maendeleo ya vijana wetu
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane ameondolewa kwenye nafasi hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Aziz Bouh Abdel naye wa Mauritania.
Dahane atakumbukwa kwa maamuzi yake ya utata kwenye mchezo wa robo fainali ya CAFCL kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Young Africans Sc ambapo alikataa bao halali la kiungo wa Yanga Stephanie Aziz Ki na kuzuia sintofahamu na mashabiki wa soka barani Afrika.
Aziz Bouh Abdel ndiye Mwamuzi aliyechezesha mechi ya hatua ya makundi kati ya Yanga Sc dhidi ya Al Ahly mnamo Desemba 2, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye sare ya 1-1.
18/04/2024
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. SIMBA 🇹🇿 yashika namba moja
- Klabu tatu kubwa Tanzania 🇹🇿ndio zinaongoza katika orodha hii.
Credit to : trtafrikasw
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
0713361383
Bukoba
