Tuna ofa kwa yeyote anaehitaji kusajiliwa kampuni mpya (BRELA) pamoja na Tender NeST. Wasiliana nasi 0742663333
AD Online Tender Solutions
AD Online tender solutions tunadeal na kutatua changamoto zote zinazohusu TENDER hasa online
11/02/2024
AD Online tender solutions tunaendelea kukusongezea huduma karibu kwa maswala yote kuhusu online government tenders NEST karibu, kwa wale wazabuni wanaohitaji kutatuliwa changamoto za kimfumo wa NEST pamoja na kuwasilisha tenders karibuni sana 0742 663333
08/09/2023
Leo natoa darasa kidogo kwa wazabuni ambao wengi hawana maarifa ya kutosha katika namna ya kuandaa zabuni zao na hasa kwenye kuzisoma na kuzielewa documents zote za tender husika na mwishoe hujikuta wanashindwa kufaulu ama kushinda tender zao. Leo nimeiweka hadharani hii fomu inayoitwa INTEGRITY FORM, hii wengi hujaza taarifa zao tu na kuisubmti wakiwa na mawazo ya kwamba wako sahihi ila kiukweli hiyo ni makosa makubwa sana, hii fomu kwa twatakiwa kuijua ni nini hasa na inahitaji nini pamoja nayo, hii fomu ni maelezo ya kimaadili ya mdhabuni husika haswa kwenye mambo ya uadilifu na siku zote huambatanishwa na kitu inaitwa CODE OF CONDUCT ni nini hii code of conduct, hii ni walaka wa kisheria unaothibitisha kuwa mdhabuni husika anapingana na vitendo vyote vya rushwa na kuwa muadilifu na hii walaka kutayarishwa na kusainiwa na wanasheria kisha unaambatanishwa na hiyo foumu yako ya INTEGRITY kisha ndo unasubmit tender yako. Mpaka kufika hapo natumaini mmepata elimu kidogo na karibu kwa huduma zetu 0786 628 072
KUNA WATU WENGI KWENYE KUANDAA TENDER NA QUOTATION WANASHINDWA KUTOFAUTISHA TENDER NA TENDERER NAME. KARIBU UPATE MAARIFA KWETU 0786 628 072
NGUVU YA KIAPO CHA KISHERIA (POWER OF ATTORNEY) JE WAJUA KUIANDAA KWENYE TENDER YAKO? KARIBU NA UNGANA NASI UPATE KUJUA 0786 628 072
08/09/2023
Ukizungumzia Tender Tanzania basi huwezi kuwasahau GPSA k**a wakala mkuu wa kusimamia na kuratibu mambo yote ya manunuzi kwenye taasisi za umma. Karibu kwa mahitaji ya huduma zote za tender, quotations na mafunzo ya mifumo ya tender 0786 628 072
08/09/2023
Tunatoa huduma za kufundisha wazabuni namna ya kushiriki kwenye tender, quotations, na pia tunasajili accounts za TANEPS na NEST kwaajili ya shughuli za tender na quotations zote Tanzania nzima na ukihitaji tukufanyie tender yako kwa process zote mpka submission pia karibu sana 0786 628 072
12/08/2023
KWA WAZABUNI WOTE, TUNAPENDA KUWAKARIBISHA KUPATA HUDUMA YA USAJILI WA SYSTEM MPYA KWAAJILI TENDER ZOTE 0786628072
09/06/2022
+255 786 628072 Let us help you
+255 786 628072 let us help you
18/03/2022
Framework Agreement (GPSA) 2022-2023 already started let us help you please contact us 0786 628 072
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Buyuni
255
