Organization for Pemba Social Support: OPSS
Kuisaidia Jamii ya Pemba
19/09/2023
Jumuiya ya opss leo tarehe 15/09/2023 imefanya kongamano la wahitimu wa kidato cha sita juu ya hali ya maisha ya vyuoni yalivo na kuchukua fani ambazo zitawaletea faida na sio kufuata mkumbo na kujiepusha na mambo maovu kwakua wapo huru.
25/03/2021
Bi Halima akishirikia na wana OPSS akimkabidhi Mwananchi wa Pondeani mzigo ambao una vitu vitavyomsaidia katika maisha
25/03/2021
Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Sheha wa shehia ya Pondeani katika shuguli ya ugawaji wa Nguo na Vifaa mbali mbali kwa Familia zilizo na Maisha Magumu
03/03/2021
Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Afisa WEMA wilaya ya chake chake wakiwapa Mafunzo Wanafunzi juu ya kusoma kwa malengo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Madungu
Chake Chake
