MUONA MBALI "360"
TWENDE NA MAMA "360"
Mitano tena ποΈ
26/02/2025
Miaka kumi na Tano (15) iliyo pita...
21/02/2025
4R ya Rais Dkt Samia S. Hassan ambayo Ina misingi mikuu minne katika uongozi wake:
1. Reconciliation (Maridhiano)
2. Resilience (Ustahimilivu wenye unyumbulifu)
3. Reform (Mageuzi)
4. Rebuilding (Ujenzi mpya wa Democrasia
25/10/2022
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Waziri Mkuu wa 57 wa Uingereza, natarajia kuinua uhusiano wetu baina ya nchi hizo mbili kwa kiwango cha juu zaidi. Karibu Tanzania.
"Kazi IENDELEE" πΉπΏπΉπΏπΉπΏπͺ
22/10/2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.
"Kazi IENDELEE" πΉπΏπΉπΏπΉπΏπͺ
17/10/2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia maji mara baada ya kuzindua skimu ya maji ya Kakonko-Kiziguzigu katika hafla iliyofanyika Mlima Kanyamfisi Kakonko, mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.
"Kazi IENDELEE"πΉπΏπΉπΏπΉπΏπͺ
14/10/2022
"kazi IENDELEE" πΉπΏπΉπΏπΉπΏπͺπͺπͺ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
