21/12/2020
Tunapenda kutoa pole kwa Katibu wetu Ndg. Elizabeth Makata kwa kuondokewa na Bibi yake mpendwa, tunapenda pia kuwashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kata ya Mwananyamala kwa moyo wao wa upendo na kujitoa kwa kumpa faraja mwenzetu kipindi chote cha msiba huu. Ahsante.
Viongozi wanaotoa heshima za mwisho pichani;
Diwani/Mstahiki Meya Mhe. Songoro MNYONGE,
M,kiti CCM kata Bi. Pili MGUNDA,
Katibu CCM kata Ndg. Stanley MVUNGI,
M,kiti UVCCM Ndg. Ramadhan MAULID.
ππΏ
20/11/2020
Anaitwa SONGORO HAMIS MNYONGE
Baba anayetosha kuwa baba K**a vipengere vingine vitabaki sawa
(If other factors remain Constant)
Kwani tunaamini katika matokeo Chanya ya kiuhakika kabbisa juu ya kazi itakayosimamiwa na yule anayestahili.
Diwani wa Kata Ya Mwananyamala.
Mungu akusimamie katika hili kwani hatuna mashaka na Utumishi wako na hatuna mashaka pia hata juu ya Dhamira yako kwa watu kupitia hili pia. π€π€
01/11/2020
Heshimu mamlakaβπΏ
Jeshi la polisi Tanzania kupitia kamanda wa polisi Mkoa wa Dar es salaam SACP Lazaro MAMBOSASA lazuia maandamano yaliyopangwa na baadhi ya viongozi wa upinzani walioshindwa kwenye uchanguzi ulioisha hivi karibuni.
ππΏ
@ Mwananyamala, Dar es Salaam
01/11/2020
MWANANYAMALA + MAKUMBUSHO
27/10/2020
Oktoba 27, 2020
Mkutano wa kufunga kampeni wa Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni viwanja wa Mwinyijuma, Mwananyamala.
β
β
β
β
β
@ Mwananyamala, Dar es Salaam
20/10/2020
Chuma Cha Mwananyamala kimezaliwa leo.
Happy Birthday to you Comrade
Songoro Hamisi Mnyonge
19/10/2020
Urais ni MAGUFULI β
UBUNGE Kinondoni Abbas TARIMBAβ
Udiwani Mwananyamala Songoro MNYONGE β
@ Mwananyamala, Dar es Salaam
19/10/2020
SONGORO HAMIS MNYONGE
na
TARIMBA ABBAS TARIMBA
Kata Ya Mwananyamala
Mtaa wa Msisiri A
Tupatieni RIDHAA tukawalipe UTUMISHI uliotukuka.
Chagua CCM
Kazi Iendelee