Mshauri wa Ndoa na Mahusiano

Mshauri wa Ndoa na Mahusiano

Share

Tunaombea Ndoa yako na Mahusiano yako uishi kwa amani na utulivu�

14/02/2024

UNATAKA KUFANYA BIASHARA NA HUNA MTAJI.
UNA MTAJI LAKINI HUJUI UFANYE BIASHARA GANI!

NINA BIASHARA AMBAYO NAWEZA KUFANYA UKIWA UNA MTAJI MDOGO KABISA NA UKATENGENEZA ZAIDI YA 1M KWA MWEZI FAIDA.

AU UNA MTAJI LAKINI HUJUI UFANYE BIASHARA IPI NA ITAKULIPAJE! NJOO NIKUSAIDIE MPENDWA 0716 822126

K**A WEWE NI MWANACHUO UNAENDA LIKIZO MIEZI MITATU SOON NITAFUTE KABALA LIKIZO HAIKAANZA ILINUANZE BIASHARA.
K**A WEWE NI MUAJIRIA NITAFUTE MAPEMA SANA ILI UWEZE KUTEMGENEZA KIOATO KIZURI BADO UKIWA KWENYE KAZI YAKO UTAFANYA MAAMUZI YA KUACHA KAZI BAADA YA KUONA UNA UHAKIKA WA PESA NZURI NA TAMU NDANI YA MIEZI 3 HADI SITA.
K**A UPO MTAANI AU UPO NYUMBANI UNAHANGAIKA NA KUTAFUTA KAZI NJOO NIONE CHAP UNADILISHE MAISHA YAKO.
NITAFUTE KWA WHATS APP 0718005644

PROGRAM YANGU YA KUFUFUA MATUMAINI KWA KILA MTU NA KUMSAIDIA KILA MTU AISHI MAISHA YA NDOTO ZAKE.

Karibu inbox 📥 k**a una maswali zaidi kwa mawasiliano zaidi 0716 822126. Tuna kusaidia kuongeza network ya biashara yako na kukupa wateja kwa njia mbali mbali

01/02/2024

HATARI YA KIAPO CHA MAHUSIANO ❤‍🩹

KUTOKA 23: 32. ''Usifanye maagano pamoja nao, wala pamoja na miungu yao.''

Agano/Kiapo, ni kitu kikubwa sana, kuna nguvu katika maagano. Unapoweka agano unasababisha lile agano liwe linaishi,
Unasababisha maisha yako yawe katika muelekeo wa agano ambalo umelifanya.

Ndiyo maana k**a hauna uhakika na kitu ni bora usiweke agano, usifanye Kiapo kwa sababu kuna saa utatamani ufanye vitu tofauti na kiapo ila lile agano litasimama k**a kifungo, likakuwekea wigo, au ukuta kwenye ulimwengu wa Roho.

Watu wengi wanapokuwa kwenye mahusiano na wanapoona wame pendana na wapenzi wao huwa wanafanya maagano mbali mbali ya kutokuachana.

Maagano ambayo yanaathiri na kumsababisha kijana au binti ashindwe kuingia kwenye ndoa, maagano ambayo
Yana sababisha ndoa yako ambayo imepangwa na Mungu ishikiliwe na shetani kwenye ulimwengu wa roho,

Unapofanya maagano ina maana unayapa mamlaka hayo maagano kuweza kukutawala wewe kwenye ulimwengu wa roho na wa mwili.

AINA ZA MAAGANO AU VIAPO

Kuna maagano ya damu, Maagano ya maneno
maagano ya matendo
maagano

Kiapo cha damu ni kile ambacho wapenzi hutumia damu kufanya maagano kwamba kamwe hawataachana na kwamba hata k**a wakiachana hawaweza kuingia kwenye ndoa na watu tofauti mbali na wao.

Maagano ya damu yanafanyika kwa kuchukua damu ya kijana wa k**e na wa kiume kisha kuichanganya kwa pamoja na kisha kutamka maneno ya kuapa kutokuachana.

Maagano ya maneno.. haya ni maneno ya kuapa ambayo kijana wa k**e na wa kiume wanaambiana.

Mfano : hatutaweza kuachana, wewe ni mke/mume wangu. Vijana wa k**e na wa kiume kuanza Kuitana mke au mme wakati bado hamjafunga ndoa unakuwa unatengeneza maagano kwenye ulimwengu wa roho kwamba nyie ni mke na mme.
Kuna vijana wamepeana hadi pete za ndoa, yaani hawajafunga ndoa ila tayari wanatumia pete za wana ndoa.

Maagano ya kimatendo, ni pale unapotumia mwili wako kwa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambaye siyo mke wala mme wako. Mnakuwa mnatengeneza muunganiko kwenye ulimwengu wa roho ambao unakufanya muonekane k**a mke na mume.

Sasa mahusiano ambayo uliyafanyia maagano yanapovunjika, au yanapoisha hapa ndipo shida huanza,

kwa sababu tayari unakuwa umejiingiza kwenye maagano ya ndani halafu mahusiano yanavunjika na unatamani kuingia kwenye mahusiano mengine yanayo pelekea ndoa ila unashindwa kwa sababu ya Yale maagano ambayo umeyafanya yanakuwa bado yanaendelea kuishi kwenye ulimwengu wa roho huku yakikuathiri kwenye ulimwengu wa mwili.

Ili kuyavunja yale maagano yote uliyoyafanya unatakiwa kuingia kwenye toba ya utakaso kwa damu ya Yesu,

Ili ikutenganishe na nafsi ulizo jiunganisha nazo kwa viapo mbali mbali katika ulimwengu wa roho kwa maneno na matendo.

Lakini pia utatakiwa kufanya maombi ya ukombozi ili kukuondoa kutoka katika maagano ambayo umeyafanya ambayo sasa hivi yanaathiri kuolewa/kuoa kwako.

Vijana ambao bado hamja fanya maagano au unampango wa kufanya maagano na mtu uliyenaye kwenye mahusiano, nakushauri usije ukathubutu kufanya maagano na mtu ambaye huna uhakika naye k**a mtafunga ndoa au la!

Epuka kujiharibia maisha, kwa kufanya maagano ambayo baadaye yatakuja kukugharimu.
Na hata k**a uliingia kwenye maagano mabaya kiasi gani jua kuwa ipo damu ya Yesu ambayo kazi yake ni kufuta kila kitu na kukuletea mwanzo mpya.
Jua kuwa hakuna la kumshinda Yesu,

Katika jina la Yesu, navunja kila aina ya maagano ambayo yamesimama kwenye maisha yako k**a kizuizi cha kuingia kwenye ndoa yako. Kwa jina la Yesu

Kila agano ambalo lina simama kinyume na ndoa yako, kinyume na kuolewa kwako, kinyume na kuoa kwako naliondoa kwa damu ya Yesu Kristo, Ameen 🙌.
Uko huru sasa kwa jina la Yesu

By Mtumishi Fahim 0716 822126 💥

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee 👏

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

22/12/2023

BAADA YA KUWA KWENYE MAHUSIANO KWA MIAKA MITATU MPENZI WANGU AMETANGAZA NDOA NA MWANAMKE MWINGINE.

MSHAURI WA NDOA. Naomba kushea maumivu💘 ninayopitia sasa hivi labda inaweza kunishauri ikanisaidia kupunguza makali ya moto unaowaka kwenye moyo wangu. Mimi ni binti wa miaka 26, mpaka sasa nipo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye ana miaka 32, tulianza mahusiano yetu miaka matatu iliyopita.

Kwenye mahusiano yetu tumepitia mambo mengi, ya raha na karaha k**a mnavyojua misukosuko ya mapenzi kuna muda unagombana na ndugu, jamaa na marafiki ili umfurahishe mpenzi wako aone unampenza, nilifanya hivyo, kuna muda unaacha kazi yako ili kutii matakwa ya mpenzi wako, nilifanya hivyo, kuna muda unabadilika kabisa kuanzia mavazi na aina ya kuishi, pia nilifanya hivyo, nilifanya kwasababu niliamini atakuwa mume wangu, tena mume wa milele.

Nilimtiii, nilimheshimu, nilianza kumuita mume miaka miwili nyuma. Aliniahidi kunioa asilimia 100 na alikuwa ananisisitiza kuwa lazima anioe mwaka kesho 2014, hakuwahi kunionyesha chuki wala sikuwahi kujua k**a ananichiti, kila nilipomhitaji alikuja. Sasa juzi Jumamosi nimeshangaa kuona kadi za mualiko wa harusi yake ya mwezi wa pili mwakani zinasambaa mtaani, pichani yupo yeye na mwanamke mwingine mzungu.

Nilichanganyikiwa Kwasababu tulikuwa tunawasiliana bado hakunionyesha dalili zozote za kuniacha, nilimpigia simu kumuuliza k**a niliyoyaona ni kweli? aliniambia ni kweli akaniambia nimsamehe kwa kunipotezea muda niseme ninachokitaka atanipa ili kufidia muda alionipotezea, anasema alifanya hivyo kutokuniambia kwasababu alikuwa anaogopa ila yeye na huyo mwanamke wake wana miaka sita ya mahusiano ila mwanamke ni mtu wa kusafiri sana ndio maana akaamua kuwa na mimi k**a kipoozeo kwasababu aliona nimetulia.

Ajabu ni kwamba hata ndugu zake walikuwa wanajua ila hawakuniambia, amenionyesha picha zao za mwaka 2018 wakiwa Zanzibar mapumnzikoni. Kiukweli tangu siku hiyo sijamjibu kitu, nilihisi moyo wangu umekufa ganzi, siwezi kula hata, sijui naanzia wapi kuwaambia marafiki zangu,ndugu na jamaa zangu, amenitumia meseji 53 za kuniomba msamaha lakini sijamjibu hata moja, sijui namjibu nini maana nikianza kuandika najikuta nalia tu, naomba ushauri sijui mwanzo wangu utaanzia wapi baada ya hili pito kupoa.

Ushauri 0716 822 126 WHATSAP 💕

26/04/2023

UNAPOTAKA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO ZINGATIA HAYA 👇🙏🏽

Unapotaka kuanza mahusiano na mtu jambo mojawapo la msingi sana kuangalia ni RELATIONSHIP HISTORY ya huyo mtu. Kuna watu ni mfumo wao wa maisha KUUMIZA WATU. Kila mtu aliyewahi kuwa nae alimuumiza au alimsaliti au alimfanyia ubaya. Au yeye mwenyewe aliumizwa mahali na yale maumivu hayajashughulikiwa.

Ukimpokea mwanaume au mwanamke mwenye maumivu na tabia mbaya ambazo hazijashughulikiwa uwe na uhakika baada ya muda na wewe utaongezwa kwenye orodha ya majeruhi wake kwa maana ATAKUUMIZA pia vibaya sana.

Na ukishaumia ukabadilika ukawa kitu kingine na ukashindwa kuendelea kuwa mwema kwake kwa sababu ya maumivu aliyokusababishia yeye mwenyewe, atakuacha ataenda kutafuta VICTIM mpya ambaye hana maumivu na ambaye atampokea na kumfanyia wema k**a wewe ulivyokua mwema kwake kabla hajakuumiza.

Kule kwa VICTIM mpya ataeleza mabaya yako yote lakini hataeleza ALIKUFANYA NINI mpaka ukajikuta unafanya mabaya uliyokua unafanya wakati mwanzo hamkuanza hivyo na ulikua mwema sana.

VICTIM mpya atajiona yeye ndio kaweza na yeye ndio mwema zaidi na wataunganisha nguvu kukuchangia kwamba wewe ni mbaya sana.

UKIWAPA MUDA UTAGUNDUA ILE CIRCLE ITAENDELEA KWA SABABU VICTIM AMEBADILISHWA LAKINI YULE MWENYE TATIZO HAJAREKEBISHA TATIZO LAKE. NA ANAHAMISHA MAUMIVU KUTOKA KWA MTU MMOJA KWENDA KWA MTU MWINGINE.

By Mtumishi Fahim. Whatsapp ☎️ 0716822126

Maombi ya Ndoa na Mahusiano

03/04/2023

JINSI BABA MDOGO NA DADA WA KAZI WALIVYO WAHARIBU WATOTO WANGU KWA KUWAFUNDISHA NGONO SEX💘😭.....

*Najuta kuwatoa Muhanga wototo wangu kwa ajili ya kazi yangu.😭*

Mtumishi Fahim naomba uniombee Mungu anisamehe 🙏

▪️Niliolewa nikiwa na miaka 24.Mimi na mume wangu wote tulikuwa daktari wa binadamu.Wote tulizingatia kazi yetu na kwakweli tulifanikiwa katika yote tuliyofanya lakini sio katika malezi ya watoto wetu, damu na nyama yetu.

▪️Tulikuwa na watoto wawili,Kunle wa kwanza na Tola wa pili.Kunle alikuwa ni mdadisi na muuliza maswali kwa kila kitu hadi alikuwa na jina la utani "mchunguzi".Baba yake na mimi tulichoka maswali yake hata tukaanza kufunga mlango wa chumbani kwetu mara tu tukitoka kazini.Jinsi gani natamani ningejua vema,jinsi gani natamani ngesoma 'post' zako kwa wakati huo.

▪️Wakati Kunle ana miaka minne,alikuwa ana akili sana zaidi ya wenzake na alikuwa mchangamfu sana,yaani huwezi kupoa ukiwa naye.Alimpenda dada yake sana na tulijivunia yeye mno.Baba yake na mimi tulikuwa na uhakika kuwa Kunle pia atakuja kuwa daktari wa binadamu k**a sisi.

▪️Tuliwapenda watoto wetu sana na tulikuwa na mipango ya kuwapa kilicho bora zaidi kwenye kila kitu ingawa tulikuwa 'busy' sana na muda mwingi hatukuwa nyumbani kwa sababu ya asili ya kazi yetu.Hili lilitufanya tumuajiri dada wa kazi na pia tukawa tukaishi na mmoja wa mashemeji zangu.

▪️Siku moja nilirudi toka kazini nikiwa nimechoka sana na mwanangu Kunle akanikimbilia na kuniuliza.

"Kwanini kila siku unafunga mlango wenu wakati wowote wewe na baba mkiwa chumbani?"

"Unapenda kumbusu baba yangu?"

"Kwanini usinibusu na mimi pia?"

▪️Nilikasirishwa naye ,nilimpiga sana na kesho yake nikamripoti kwa mwalimu wake.Tuliamini baadhi ya rafiki zake walikuwa wanajua mambo ya wakubwa na labda tayari wameangalia filamu mbaya.Mwisho wa muhula,tuliwatoa Kunle na Tola shuleni hapo.

▪️Hatukuwaruhusu yeye na dada yake kuangalia televisheni nyumbani na pia tukawakataza kuwatembelea rafiki zao na majirani.Tulifanya yote hayo kutunza ufahamu wa watoto wetu lakini kumbe hatukujua kilichokuwa kinafanyika chini ya dari letu.

▪️Miaka miwili baadaye, kuna siku nlienda nyumbani mapema kuliko kawaida yangu kwa ajili ya kuchukua document flani.Niligundua kuwa mlango haujafungwa na palikuwa kimya sana.Nilinyata ili kuwafanyia wanangu 'suprise' ya utani kidogo ,ndipo niliwakuta baba yao mdogo (yule shemeji yangu) na dada wa kazi wakiwa sebleni na wanangu wakiangalia video ya ngono.Nachukia sana kuikumbuka ile siku.Hawakuwa tu wakiangalia video ya ngono bali pia wote walikuwa uchi, wakifuatisha kile walichokuwa wakiangalia.

▪️Niliwafukuza nyumbani kwangu dada wa kazi na shemeji yangu lakini tayari mbegu ilikuwa imepandwa ndani ya wanangu.Wakati nikilia ,mwanangu Kunle wa miaka 6 alinifata na kusema, Mama kwanini unalia, Anko na anti walikuwa tu wanatufundisha jinsi ya kuwa baba na mama wazuri.Nilipatwa na mshtuko na sikuwa najua kabisa kuwa hili jambo lilikuwa limeendelea kwa miaka miwili na wanangu walikuwa wameshajazwa kichwani upotofu huo wakiwa bado na umri mdogo.

▪️Tulikuwa bado hatujagundua matokeo ya jambo hilo katika maisha yao mpaka tulipowafuma wote wawili wakifanya mapenzi mara kadhaa,yaani hazihesabiki.Tola na Kunle hawakuendelea tu na hilo lakini wakawa wameshashibana mioyo na kufikiriana sana.

▪️Baba yao na mimi tulitunza hii k**a 'siri yetu ndogo' maana tulifahamika sana kwenye kazi yetu.Kila tulipowakuta wakifanya tendo hilo,tulijaribu kuwasahihisha kwa upendo huku machozi yakitutiririka kwenye nyuso zetu.Walituahidi kwamba watabadilika.Tulikuwa tumetoa mimba mbili kwa binti yetu Tola kwakuwa hatukuweza kustahimili matokeo haramu ya mahusiano ya kimapenzi kati ya ndugu.

▪️Siku moja mbaya zaidi,Tola alitufata na kutuambia ni ana ujauzito wa Kunle tena.Baba yake alisisitiza mimba itolewe k**a kawaida, lakini safari hii tulimpoteza binti yetu wa miaka 12 wakati wa utoaji mimba hiyo.Kunle alipojua Tola amefariki hakuzungumza tena na baba yake wala mimi .Akaondoka nyumbani.

▪️Miezi mitatu baada ya Kunle kuondoka nyumbani,tulipokea simu kutoka hospitali ikituambia mtoto wetu alikuwa na hali mbaya na alikuwa ICU.Tulipofika,Kunle alikuwa amelala hajitambui.Alikuwa amekunywa sumu.

▪️Hatimaye,alirudiwa na fahamu na tukafurahi sana, alitutazama tukiwa tumeketi pembeni ya kitanda na akatuambia jinsi gani anatuchukia sana kwa kumuua dada yake.Tulimbembeleza na kumuomba msamaha.Kesho yake tulipoenda hospitali tulikuta mwili wake,alikuwa amefariki kwa kukosa hewa baada ya yeye mwenyewe kutoa mpira wa oksijeni uliokuwa unamsaidia kupumua.

▪️Sasa nina miaka 74 na ni mjane.Mume wangu hakuweza kujisamehe, alifariki kutokana na msongo mawazo miaka mitatu iliyopita.Ninajutia miaka yangu ya ujinga kila siku,Natamani ningeanza upya.

▪️Sijawahi kuiambia familia yangu siri hii hadi hii leo. Nimeona nikuambie Mtumishi Fahim niombee toba Mungu anisamehe😢 .Nimechoka kubeba mzigo huu moyoni bila kumwambia mtu.

▪️Ninafurahi sababu hatimaye nimepata ujasiri wa kukwambia mtumishi wa Mungu niombee Mungu anisaidie maisha yangu ni tatizo kubwa..😭

MWISHO:😢
HII NI STORY ILIYO MTOKEA MAMA MMOJA KWENYE FAMILIA YAKE, AMENIAMBIA ILI NIOMBE NAE NILIMUOMBA K**A NAWEZA KUSHIRIKISHA WATU WENGINE HUU UJUMBE ALIPO NIRUHUSU NDIYO NIMEONA NIKUWEKEE HAPA UJIFUNZE KUPITIA HILI, FAMILIA NYINGI ZINAPITIA HAPA.😭

USHAURI💥
MPENDWA NIKUSHAURI JAMBO, FAMILIA WATOTO NDOA🤝 HAIJENGWI NA UZOEFU AU SAIKOLOJIA TU MAANA SHETANI HAOGOPI SAIKOLOJIA WALA UZOEFU WAKO, TENGA MUDA WA KUWAFUNDISHA MANENO YA MUNGU NA SHERIA YA MUNGU, MUNGU ASIPO WALINDA WATOTO WAKO WEWE HUWEZI KUWALINDA. MPENDWA LINDA WATOTO WAKO NA NDOA YAKO KWA SADAKA NA MAOMBI🙏

USHAURI💥
SHULE ZIMEFUNGWA UFATILIE MAISHA YA WATOTO WAKO, WATU WA NYUMBANI MWAKO USIWAAMINI KUPITA KIASI, FANYA UCHUNGUZI, TENGA MUDA KUSIKILIZA WATOTO WANACHANGA MOTO NYINGI.

WANATAMKIWA MANENO MABAYA
WAPE NENO LA UPENDO KUTOKA KWAKO NI DAWA.
MWISHO TENGA MUDA WA KUFUNGA
NA KUOMBA NAO🙏
MAADUI HAWATAKI KUONA WATOTO WAKO WAKIWA SALAMA ZAIDI TUNAISHI NA WATU WENYE VISASI NA MALIPIZI BILA KUWAJUA WANAWEZA KUWA HATA NDUGU WA KARIBU, AKIKUSHINDWA WEWE ANAHAMIA KWA WATOTO WAKO
ASANTE.🙏 NA UWE NA SIKU NJEMA

✍By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126💥

Ukiguswa kusapoti uendeshaji wa huduma hii kwa njia ya sadaka unaweza kutuma kwa M-Pesa 0758601212 jina Fahim Makame 🙏 ubarikiwe sana

Kwa maombi na ushauri nitumie ujumbe 💚Whatsapp 📲0716822126🙏

25/03/2023

MAOMBI YA KUREJESHA UPENDO💓 ULIO POTEA WA NDOA💍 NA MAHUSIANO💞
✍By Mtumishi Fahim 💥

Tunamtumikia Mungu wa urejesho wa ndoa, haijalishi shetani ameipiga ndoa yako kiasi gani, nataka umwamini Mungu wa urejesho.

Mungu hachelewi, haijalishi machafuko ambayo unaweza kuwa unateseka kwenye ndoa yako sasa hivi, Mungu atairejesha. Labda mumeo alikuacha au anaonyesha tabia au mke amekuacha, mwenzi wako si mwaminifu kukufukuza nje ya ndoa yako.

K**a mwanamke labda mumeo anakunyanyasa kimwili, amekutelekeza wewe na watoto.

Haijalishi ni suala la ndoa yako, nataka ubaki ndani na kumwamini Mungu wa urejesho.

Kumbuka! Urejesho maana yake ni Mungu kukurudishia kile ambacho shetani amekuibia kwa kuzidisha.

Je, shetani ameiba amani kwenye ndoa yako? Tarajia amani katika hali iliyozidishwa. Ibilisi ameiba furaha yako katika ndoa, tarajia furaha nyingi kutoka kwa Bwana. Je, mumeo alikuacha kwa mwanamke mwingine na bado unamuombea na unataka arudi, unapoomba nami maombi haya, kabla ya wiki hii kuisha, tarajia kumuona akirudi kwako kwa jina la Yesu.

Labda hisia zako zilitoweka na huna tena hisia na upendo kwa mpenzi wako, Mungu atarejesha hisia zako na upendo wako pamoja utakuwa wa ajabu. Haijalishi shetani amekuibia nini Mungu atakurudishia mara nyingi.

Usikate tamaa kwa Mungu, shiriki dondoo hizi za maombi kwa moyo wako wote. Ndoo hizi za maombi ya urejesho wa ndoa zitasababisha mbingu kushuka kwa niaba yako, kurudisha ndoa yako iwe na amani.

MAOMBI🙏

1. Ninaamuru kila mvunja nyumba, aliyehusika na machafuko katika ndoa yangu kukiri kwa moto, na ninavunja umoja wao wa kishetani juu ya ndoa yangu leo ​​na ninatangaza kurudisha ndoa yangu kwa jina la Yesu.

2. Ninatawanya mipango yote kati ya mwanamume au mwanamke yeyote wa kipepo dhidi ya mwenzangu, katika jina la Yesu.

3. Ninasababisha mkanganyiko na chuki kubwa kati ya mwenzangu na mwanamume au mwanamke yeyote wa kipepo kwa jina la Yesu.

4. Nitapata kibali na upendo wa mume wangu katika jina la Yesu. Ee Mungu inuka uiokoe ndoa yangu isiharibike kwa jina la Yesu

5. Mpendwa Roho Mtakatifu, msh*taki mwenzi wangu kuhusu dhambi na umrudishie Mungu kwa jina la Yesu.

6. Ninasimama dhidi ya mashindano yoyote ya wanawake wa ajabu au wasichana au kikundi cha wanaume na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

7. Ninasimama dhidi ya shetani wowote wa shetani na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

8. Ninasimama dhidi ya kushindwa kwa kifedha na umaskini na kuwaamuru ‘waniachilie na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

9. Ninasimama dhidi ya mume na wake wowote wa kipepo na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

10. Ninasimama dhidi ya alama zozote za kishetani na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

11. Ninasimama dhidi ya uharibifu wowote wa kupinga ndoa na kuwaamuru 'waniachilie na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

12. Ninasimama dhidi ya roho yoyote ya woga na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

13. Ninasimama dhidi ya roho yoyote ya yazebeli na kuwaamuru ‘nifungue mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

14. Ninasimama dhidi ya roho yoyote ya mababu kutoka upande wa baba au mama yangu na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

15. Ninasimama dhidi ya laana zozote za ndoa na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

16. Ninasimama dhidi ya maagano yoyote ya kupinga ndoa na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

17. Ninasimama dhidi ya roho yoyote ya kutokuelewana na kuwaamuru ‘nifungue mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

18. Ninasimama dhidi ya uhusiano wowote usio wa KIMUNGU kwa wazazi na kuwaamuru ‘waniachilie mimi na ndoa yangu, katika jina la Yesu.

19. Baba, naamuru urejesho mara saba katika familia yangu. Ninaamuru urejesho mara saba katika ndoa yangu. Ninaamuru urejesho mara saba katika maisha ya mwenzi wangu kwa jina la Yesu

20. Baba, ninaamuru urejesho wa amani mara saba katika ndoa yangu. Ninaamuru urejesho mara saba wa furaha katika ndoa yangu. Asante Yesu kwa kurejesha yote katika ndoa yangu kwa jina la Yesu.

By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126🙏

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwa jina la Yesu

Maombezi Whatsapp 0716822126💥

21/03/2023

KABLA YA MWAKA KUISHA UKABEBE MIMBA KWA JINA LA YESU 🙌

Maombezi Whatsapp 0716922126

07/03/2023

K**A UNAOTA :- NDOTO HIZI UMEFUNGWA KICHAWI
👹
☑️UKO SHULENI WAKATI ULISHAMALIZA SHULE

☑️UNA OKOTA PESA NYINGI WAKATI HUNA HELA NA MAISHA YAKO NI SHIDA

☑️UNAHESABU PESA NYINGI WAKATI MFUKONI HUNA KITU

UJUE PESA ZAKO ZIMEZUILIWA NA WACHAWI NA ZINAWAFAIDISHA WATU WENGINE, HIVYO UNATAKIWA MAOMBI YA KUKOMBOA UCHUMI NA PESA ZAKO🙆

☑️UNANYONYESHA WAKATI HUNA MTOTO MDOGO AU HUJAZAA KABISA

UJUE UZAO WAKO AU WATOTO WAKO WAMEFUNGWA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NA NGUVU ZA GIZA, UNATAKIWA MAOMBI YA KUKOMBOA UZAO

☑️UNAOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA NA MTU YEYOTE WAKATI UMELALA
MAANA YAKE UNAVIFUNGO KWENYE ENEO LA MAHUSIANO NA NDOA🤦‍♀️

INAWEZA KUSABABISHA UWE HAUDUM KWENYE MAHUSIANO, AU NDOA KUVUNJIKA BILA SABABU ZA MSINGI, AU KUWA NA NDOA YENYE MIGOGORO NA MATESO YASIYO ISHA,
UNATAKIWA MAOMBI MAALUM YA KUKOMBOA LANGO LA MAHUSIANO NA NDOA 🙆‍♂️

UNA VITA KUBWA BILA MAOMBI HUWEZI KUPIGA HATUA YOYOTE YA MAENDELEO

⬛MUNGU AMENITUMA KUKUFUNGUA KWA JINA LA YESU UFUNGULIWE

⏹️ANDIKA
BWANA YESU NAOMBA UNIFUNGUE

▶️K**A UNAHITAJI MAOMBI MAALUM YA KUFUNGULIWA. NITUMIE UJUMBE WHATSAPP 📲0716822126🙏

✍️By Mtumishi Fahim 0716822126

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Maombezi Whatsapp 0716822126

03/03/2023

TOFAUTI KATI YA NDOA💞 NA HARUS💥I:

Watu wengi yaani Wanaume kwa Wanawake sikuhizi wamekuwa wakipenda zaidi harusi badala ya ndoa na ndio maana hushindwa kuishi mda mrefu kwenye ndoa zao.💘

Ipo hivi HARUSI ni sherehe ya kupongeza au upongezwaji wa watu wawili ambao tayari wamefunga pingu za maisha au wamekubali kuwa watu wamoja katika kunia mamoja na kushirikiana kwa pamoja katika raha na shida.

Pia Harusi ni shughuli ya umati wa watu wengi na hufanyika mahali pa wazi na hadhira, baada ya hiyo tafrija basi watu waliokula na kusaza wanaondoka na kuwaacha peke yenu (wawili).

Watu wengi wamekuwa wakiumiza vichwa sana hasa katika swala la harusi kuliko ndoa yaan wao huwaza sherehe ambayo ni ya siku moja kuliko ndoa ambayo ni ya milele.

Kwa namna hiyo ndio maana huona wengi hupendelea kwenda kwenye party za wenzao ili na wao waje kuona umati kwenye party zao au ufahari, lakini ukweli ni kuwa harusi ni ya ukumbini tuu mkitoka hapo hakuna atakaeshughulika na wewe uwe na shida au raha.

Lakini NDOA💓 ni muunganiko wa watu wawili mwanamke na mwanaume waliokubali kuishi pamoja katika utakatifu na kujenga misingi ya kifamilia.

Sasa ndoa sio Harusi unaweza ukashangaa wakati wana ndoa wametoka kufanya sherehe ya harusi mwezi mmoja uliopita na baadae wanaanza kuparangana na ndoa hatimae kutengana.

Hii ni kwasababu wengi huibeba taswira ya harusi na kuileta kwenye ndoa. Harusi ni sherehe ya umati na ndoa ni sherehe ya watu wawili wewe na mwenzio mliokubali kuwa mwili mmoja, sasa kwanini ndoa nyingi zinavunjika?💔

Ipo hivi watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa na michecheto ya kuwaza siku ya harusi tuu ya kuwa nitavaa nipendeze, nitaonekanaje, ukumbi utakuwa na watu wangapi, nitapanda gari lipi, nitapiga picha ngapi n.k. 🤔

Lakini cha kushangaza ni kuwa wahusika hawawazi ya kuwa wamejiandaaje kuishi maisha ya unyumba, wamejiandaaje kuitwa mme/mke wa fulani, wamejiandaaje kuitwa baba/mama fulani na je wamejiandaaje kukabiliana na changamoto za ndoa, hapo wengi ndipo wanapokwama.

Mwanaume au Mwanamke tumia muda wako mwingi kujiandaa kuyaishi maisha ya ndoa ambayo ni ya milele kuliko kutumia muda mwingi kujiandaa na harusi ambayo ni ya siku moja.

Hali ya kujiandaa itakuepusha na anguko la NDOA yako, waweza jiuliza naweza jiandaaje?, jibu ni kuwa jiandaa kwa kumwomba Mungu kila kukicha azidi kukutengenezea uwe mme mwema au mke mwema, pia wekeza bidii kwenye kutafuta na kujifunza mafundisho chanya kuhusu maisha ya ndoa.

ONYO: Usisahau ya kuwa HARUSI ni tukio la siku moja, bali NDOA ni maisha yenu yote, uwe makini ili usichanganye hivi vitu Rafiki yangu, Nakuombea pia Mungu akusaidie sana.

"Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu." (Waebrania 13:4)💯

FOLLOW: Mtumishi Fahim
0716822126 Whatsapp

Nakutakia siku njema, Mungu akutunze Rafiki.

06/01/2023

MUNGU ANAKUFUTA MACHOZI WEWE ULIE TESEKA KWENYE MAHUSIANO BILA NDOA MUNGU ANAKUPA MTU SAHIHI UTAKAE FUNGA NAE NDOA MWAKA HUU, K**A UNAAMINI POKEA KWA JINA LA YESU🙌

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee ✍

03/12/2022

(📕ZABURI 127: 1-2💥)
MAOMBI MAALUM YA KUMLINDA MUME WAKO,, MKE WAKO,, MCHUMBA WAKO,, MPENZI WAKO,, NA ROHO ZA UZINZI NA UKAHABA💥...
Kuna wanawake wengi warembo💋 wanamtamani sana mumeo😋, kwa kutumia maumbo ya miili yao na nguvu za Pesa, Cheo, hata kutumia nguvu za kichawi👹 Ili tu wampate mumeo au mkeo.🤔💘

Mume wako/Mke wako au mpenzi wako, anaweza akawa kwaasiri siyo mzinzi au muhuni lakini akaangukia kwenye mitego ya makahaba
huko kazini kwake, akakusariti💘
na kuanza tabia za umalaya bila kutegemea😪,

Ikawa ni chanzo cha ndoa au mahusiano yenu kuvunjika. Hata akasababisha laana kwenye familia na kusambalatika😢 watoto wakakosa mwelekeo.😭

Mara nyingi ukiwauliza wanaume au wanawake walio achana👐 kwenye ndoa au mahusiano yalipo vunjika💔 watakwambia walikuwa wanapendana sana❣ lakini ilikuwaje wakaachana? wanakuwa hawana majibu ya kutosha🤷‍♀️ wanaishia kusema ni shetani tu.

Nikweli nishetani lakini mlango washetani kuingia kuharibu ndoa yako au mahusiano yako alipita kwa kahaba huko ofisini kwa Mpenzi wako, na akamnasa mumeo au mkeo. 😭💘

Najua huwezi kumlinda Mumeo au Mkeo kwa kuwa haukonae muda wote, lakini Mungu🙏 anauwezo wa kumlinda mda wote kwakuwa yeye yuko nae siku zote

Hiyvo wajibu wako ni kumlinda unae Mpenda💓 kwa Maombi na kumtolea Sadaka kwa Mungu ili ziwe agano la ulinzi kwa Mumeo/Mkeo Mchumba wako au mpenzi wa moyo wako💥 maana yeye nisababu ya furaha na Amani kwenye maishayako.🙏🙏🙏

Jumapili hii ni Maombi maalum yakuimalisha Ndoa na mahusiano karibu sana💥Mahali DSM ubungo Sheklango N.H.C tunaanza saa 3 asubuhi mpaka mchana kwa maelekezo piga☎️ 0744083576

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

23/11/2022

MAOMBI MAALUM KWAJILI YA KUKOMBOA NDOA💞
(Waefeso 5: 25-27)
WAPENDWA WANAUME MLIOOA... "MWANAMKE UNAYEMUONA MZURI KULIKO MKEO NI KWA SABABU TU HUISHI NAYE! 💯
KILA MWANAMKE NI BORA NA NI MZURI ENDAPO TU AKIWA NA MATUNZO MTUNZE MKEO UONE FURAHA YA NYUMBA YAKO NA FAMILIA YAKO 🙏🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏
Au tupigie ☎️0744083576

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam