Search for Common Ground Tanzania

Search for Common Ground Tanzania

Share

We work to Transform Violent Conflict and build safe, Health, just society worldwide We strive to build sustainable peace for generations to come.

We work with all sides of a conflict, providing the tools they need to work together and find solutions. Search for Common Ground works in more than 30 countries around the world with 83% of our team local to the country they work in. At Search for Common Ground in Tanzania we work to transform the way people deal with conflict. Conflict and differences are inevitable. Violence is not. We harness

30/05/2023

Mkutano wa hadhara umeweza kuwakutanisha viongozi mbali mbali kujadili mada zinahusu amani wilayani Tandahimba

30/05/2023

Kususia sio njia ya kumaliza migogoro katika jamii bali kujadiliana na kukubaliana ndio njia sahihi ya kumaliza tofauti na kigogoro iliyopo katika jamii

Mkutano wa hadhara ulifanyika Tandahimba ukiwa umekusanya watu mbalimbali wakiwepo polisi ili kujadili mambo yanahusu amani wilayani tandahimba

Photos from Search for Common Ground Tanzania's post 30/05/2023

30/05/2023

Mdahalo wa pamoja ulifanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na wadau mbali mbali walipata nafasi ya kuhudhuria k**a Polisi,Wenyeviti wa mitaa,Afisa maendeleo,Maafisa watendaji,Bodaboda,Viongozi wa dini,Bodaboda na wanawake amabao wote wananafasi kubwa sana ili kujadili sababu zinazopelekea vijana kujihusisha na vurugu za itikadi kali, pia kujadili nini kifanyike ili makundi yote yasijihusishe na vurugu za aina hii wilayani Tandahimba

Pia wameweza kupanga miradi midogo ya kufanya ili kuhakikisha amani inaimarika Wilayani Tandahimba

26/05/2023

Mazungumzo ya pamoja yalifanya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mjini na ambapo watu mbalimbali walihudhuria k**a washawishi kutoka katika jamii ili kubadilishana uzoefu, mawazo, na uelewa wao wa migogoro na majukumu yao katika kuzuia migogoro na watendaji husika wa usalama, huku pia wakiongeza uaminifu na ushirikiano kati ya viongozi wa mitaa, vyombo vya usalama

Pia wameweza kupanga miradi midogo ya kufanya ili kuhakikisha amani inaimarika Mtwara Vijijini

26/05/2023

DISCUSION

26/05/2023

Mazungumzo ya pamoja yalifanya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini na watu waliohudhuria ni washawishi kutoka katika jamii ili kubadilishana uzoefu, mawazo, na uelewa wao wa migogoro na majukumu yao katika kuzuia migogoro na watendaji husika wa usalama, huku pia wakiongeza uaminifu na ushirikiano kati ya viongozi wa mitaa, vyombo vya usalama

Pia wameweza kupanga miradi midogo ya kufanya ili kuhakikisha amani inaimarika Mtwara Vijijini

Photos from Search for Common Ground Tanzania's post 26/05/2023

Mazungumzo ya pamoja yalifanya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini na watu waliohudhuria ni washawishi kutoka katika jamii ili kubadilishana uzoefu, mawazo, na uelewa wao wa migogoro na majukumu yao katika kuzuia migogoro na watendaji husika wa usalama, huku pia wakiongeza uaminifu na ushirikiano kati ya viongozi wa mitaa, vyombo vya usalama

Pia wameweza kupanga miradi midogo ya kufanya ili kuhakikisha amani inaimarika Mtwara Vijijini

01/05/2023

Tunawatakia sikukuu njema ya wafanyakazi watanzani wote na watu wote duniani kote

28/04/2023

Leo tumeweza kukabidhi Camera aina ya Canon D2000 katika kituo cha radio cha

Ambapo ni katika kutoa shukrani ya ushirikiano kati yetu katika masuala ya kujenga na kudumisha amani kwa mradi wa corona yaani Covid19 ambapo walikuwa ni washirika wetu katika kufikisha ujumbe katika jamii

26/04/2023

Tunawatakia sikukuu njema ya muungano wa tanganyika na zanzibar

25/04/2023

Handover of 1 seat, 1 table from search for common ground and Mtwango Net These handovers have taken place in search offices in Mtwara where the accountant from Mtwango net (Mtwara Non governmental Network) Mr. Rashidi Zahir has received on behalf of the director

Makabidhiano ya kiti 1,Meza 1 kutoka search for common ground na Mtwango Net
……………………………………………………

Makabidhiano haya yamefanyika katika ofisi za search Mtwara ambapo muhasibu kutoka Mtwango net(Mtwara Non governmental Network) Mr. Rashidi Zahir amepokea kwa niaba ya mkurugenzi

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Plot 18, Dahomey Street Near Shoppers Plaza Mikocheni
Dar Es Salaam
11411

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 12:00