27/12/2023
KILA NGUVU ILIYOFUNGA MAHUSIANO YAKO USIOLEWE USIZAE USIDUMU KWENYE NDOA IKUACHIE KUANZIA SASA KWA JINA LA YESU
Kila maneno ya laana uliyo tamkiwa na maadui zako kuwa hutaoa hutaolewa, hutazaa, hutadumu kwenye ndoa, nayafuta kuanzia sasa kwa jina la Yesu
Nakutangazia kwa jina la Yesu Utaolewa Utazaa Utadumu kwenye mahusiano mpaka Ndoa, na utapata Watoto na furaha kwenye ndoa kwa jina la Yesu 💟
Kila giza lililofunika nyota yako na uzuri wako ili usionekane na watu sahihi wa kukuoa naliondoa kwenye maisha yako kwa jina la Yesu.
Nuru ya uzuri wako na nyota yako ionekane kwa watu sahihi kwa jina la Yesu 💥
Kila uganga na uchawi uliotumwa kuharibu hatima yako ili thamani yako isionekane na uteketeza kwa moto wa Mungu kuanzia sasa ukuachie kwa jina la Yesu.
Nakuvua kila vazi baya ulilovalishwa linalofanya ukataliwe na watu sahihi kwa jina la Yesu nalichana hilo vazi la giza likuachie
Kila mizimu ya kwenu inayopinga wewe kuolewa na mtu sahihi inayotaka uolewe na watu watakao endeleza uchawi na mira zakwenu ili udidimie kimaisha naivunja hiyo mazabahu ya mizimu kwenye maisha yako kwa jina la Yesu, kuanzia sasa uko huru
🙌
Kila mizimu ya kwenu iliyofunga tumbo ulipo olewa na mtu asiye wakwenu ili uachike na uteseke kwenye ndoa, naiteteketeza kwa moto wa Mungu ikuachie wewe siyo fungu lao kwa jina la Yesu
Kuanzia sasa utapata mimba utazaa, na uzao watumbo lako umefunguliwa kwa jina kuu la Yesu 💯
Kila majini mahaba yanayokutesa yakizuia watu sahihi na mafanikio kwenye maisha yako, nayakemea kwenye kila eneo la mwili wako na maisha yako kwa jina la Yesu yakuachie, hayana nafasi kwenye maisha yako, wewe ni mali ya Mungu hutamilikiwa na majini na mizimu kwa jina la Yesu
Sema mimi ni mali ya Mungu sitamilikiwa na mashetani kwa jina la Yesu 🙏
Kila mapepo yaliyo kuingia kwa njia ya tendo la ndoa ulilofanya na watu wasio sahihi, au kwa ndoto za wachawi usiku, yanayo sababisha wewe kupoteza nuru yako mume mke hana furaha na wewe. Nayaondoa ndani yako kwa jina la Yesu
Nakutakasa kwa damu ya Yesu kuanzia sasa wewe ni kiumbe kipya kwa damu ya Yesu, mumeo atakufurahia mkeo atakufurahia kwa jina la Yesu.
Nafuta roho ya taraka na kuachika inayosumbua ukoo wenu na kabila lenu. Wewe hutaachika kwa jina la Yesu.
NAKUTANGAZIA KUWA KUANZIA SASA UMEKUWA HURU VIFUNGO VIMEKUACHIA KWA JINA LA YESU. NAKUANZIA SASA UTAONA MABADILIKO KWENYE MAHUSIANO, NDOA, UCHUMI, NA MAISHA YAKO.
✍by Mtumishi Fahim 0716 822126 Whatsapp
Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee
Maombi na ushauri 0716 822126

20/11/2023
14/11/2023
03/11/2023
12/09/2023
28/05/2023
26/05/2023
01/05/2023
22/03/2023
11/03/2023
01/01/2023