Tuva insurance

Tuva insurance

Share

Tuva insurance niwakala wa bima Tanzania
Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi zidi hasara ya kifedha

06/10/2021

Karibu tuva isurance agent tunatoa huduma za bima
Bima ya majanga
Bima ya moto
Bima ya Afya
Bima ya maisha
Bima ni nini?
*bima ni njia sahihi inayomuwezesha mtu kujilinda dhidi ya majanga mbalimbali tunafahamu hakuna asiyejua majanga hayana mda na yakitokea hayajalishi uwe umejipanga kifedha au ujajipanga na muda mwingine yanaharibu mpangilio wako kwenye biashara na maisha kiujumla
Tupigie simu kupata elimu zaidi
0713422569
0622214824

06/10/2021

Kwetu sisi mteja ni zaidi ya mfalme ndio maana kitengi chetu cha huduma kwa wateja kijafanya kazi kuhakikisha mteja wetu unakuwa salama mda wote utembeapo barabarani
Tupigie 0742752520
0713422569

06/10/2021

Ukiwa na bima ya gari kutoka Tuva insurance jukumu la kuhakikisha linakuwa salama muda wote ni letu na tutalitekeleza kikamilifu
Tupigie0742752520
0713422569
Karibu tukuhudumie

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


P. O. Box5961
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 12:00