05/04/2023
Tanzania people's Defense Force -TPDF
To provide Truely Information.
05/04/2023
20/03/2023
Tanzania yaipa Malawi Helikopta 2 na dola milion 1
19/03/2023
MKUU WA JKT AHITIMISHA MAFUNZO YA VIJANA, OP JENERALI VENANCE MABEYO KATIKA CHA RWAMKOMA, MARA
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuliwezesha Jeshi la Kujenga Taifa kuendesha Mafunzo ya Vijana wa Kitanzania
Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo wakati akihitimisha Mafunzo ya Awali ya Kijeshi kwa Vijana wa Kujitolea Operesheni Jenerali Venance Mabeyo katika kikosi cha Rwamkoma JKT Mkoani Mara.
Sanjari na Hilo, Amewasihi Vijana hao kutunza afya zao pamoja na kujiepusha na matumizi ya Madawa ya kulevya
Nae Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) amewapongeza Vijana hao kwa kuitimu mafunzo yao na kuwataka kwenda kukiishi kiapo chao
Akimkaribisha Mkuu wa JKT kutoa nasaha na kufunga mafunzo hayo, Mkuu wa Tawi la Mafunzo JKT Kanali Aisha Matanza amesema, Vijana hao wamewawakilisha Vijana wenzao katika makambi yote yaliyoendesha Mafunzo hayo.
Akitoa taarifa ya Mafunzo, Kamanda Kikosi cha Rwamkoma JKT, Luteni Kanali Gaudencia Mapunda amesema
Vijana wa Kujitolea Operesheni Jenerali Venance Mabeyo yalifunguliwa Novemba 28, 2022 katika Makambi ya JKT yaliyoendesha Mafunzo hayo yalliyochukua majuma 16 ambapo yalianza kuhitimishwa kwa tarehe tofauti kuanzia Machi 7, Mkuu wa JKT amefunga zoezi la uhitimishwaji wa mafunzo hayo.
17/03/2023
Ajira Mpya Jwtz/JKT
09/03/2023
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo leo Machi 9, 2023.
.
06/03/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Upanga
Dar Es Salaam
