General Online Registrations-GORS

General Online Registrations-GORS

Share

Huduma hii itafanyika popote ulipo bila kupoteza muda kwenye foleni ya ofisi hizo.

Tunawasaidia Watanzania wanaopata vikwazo mbalimbali katika kusajili maswala yao mtandaoni k**a Brela, TRA, Recruit portal, OTEAS, Mikopo vyuo vikuu, Ajira, kodi n.k.

30/06/2024

Kitu muhimu kuliko vyote ukiwa MTANZANIA ni kuwa na cheti cha kuzaliwa hata k**a hakina matumizi maana unaweza kuitwa mkimbizi muda wowote😆

30/05/2024

Je, umewahi kuwa unafuatilia jambo lako muhimu la kiuraia ukashindwa kisa huna Cheti Cha kuzaliwa au NIDA?

26/09/2021

HABARI MUHIMU KWA WAFANYABIASHARA/WAJASIRIAMALI.

K**a wewe ni mfanyabiashara ninayo habari muhimu mno unatakiwa uipate Siku ya leo.

"Baada ya kufuatilia Kwa makini biashara zipatazo 1,200 ndani ya jiji nimebainikiwa kwamba wafanyabiashara wengi hawajashindwa kuzisajili biashara zao k**a maafsa wa ushuru wanavosema Bali Kuna maelekezo muhimu Sana ambayo ukiyapata utaweza kuisajili biashara yako popote ulipo ndani ya Siku 3 tu na kuepuka kusumbuliwa na maafisa hao maishani!"

K**a taarifa hii umeipata na ungependa kujua nipigie Kwa simu namba 0655415322 nitakupa ushauri wa BURE juu ya maelekezo hayo na nitatoa ushauri Kwa Siku kumi tu!, Ili offa hii isikupite hakikisha unampigia msaidizi wangu Kwa namba 0789626783 umueleze unataka kuongea na mtaalam na atakuambia ni muda gani nitakuwa free

Photos from General Online Registrations-GORS's post 24/09/2021

Wanufaika wa mikopo tuliowasajilia kaeni mkao wa kula., Je, na wewe una jambo linalokusumbua kuomba ajira, kujisajili brela, TRA, kupata TIN. Njoo tuondoe utata. Niandikie Kwa WhatsApp #0655415322 Nini hasa kinakusumbua.

23/09/2021

Waombaji wa UNIVERSITIES, Third round ndio hiooo k**a bado hujapata bonyeza WhatsApp hapo chini uje umalize changamoto yako, pia nitakupa mentorship bure kabisa

20/09/2021

Limited time Offer, up to 2+ service will be free.
Press WhatsApp to enroll now!

12/09/2021

Niulize
nikujibu ..
ASAP

12/09/2021

Unaambiwa hakuwa na elimu kuuubwa

Alichukua maamuzi ya kwenda kozi fupi za kujua kutumia computer na kuajiriwa na mtu binafsi k**a mtu wa stationary.

Alifanya kazi kwa muda mrefu kiasi kwamba hakuwahi kujaribu kitu chengine chochote isipokuwa ajira yake.

Lakini wenzake wanafanya kazi za stationary na kuwasaidia watu mtandaoni (internet cafe) yeye hapati hao wateja.

Kichwa kinamgonga gonga na hajui afanye nini kuhudumia familia yake

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa upande wake na anakaribia kukata tamaa

Ndipo akaamua kujiunga na program yetu

Na tukamsaidia kujifunza namna ya kutumia mtandao Kwa faida.

Tukamsaidia kujenga brand yenye kusakwa na wateja

Tukamsaidia kumuelekeza namna ya kuandika matangazo mazuri yenye kunasa wateja

Lakini pia tukamuelekeza namna ya kulipia matangazo ambayo yatamletea watu wa kununua bidhaa au huduma zake.

Ooouuyeee!!!

Ndani ya mwezi mmoja ameweza kujenga biashara ambayo ilimuingizia faida ya laki Saba (700,000)

Mwezi wa pili alijenga biashara iliyomuingizia faida mpaka kufikia milioni

Ni kwa muda sasa Ms Lilian yupo na sisi na tumemuwezesha kujenga biashara ambayo inamuingizia faida ya milioni 2 kila mwezi

Je na wewe utapenda tukushike mkono uweze kuitumia mtandao Kwa faida?

K**a jibu ndio

Bofya kitufe cha WhatsApp kuanza hatua Kwa hatua.

*Hakika tambua bandlo lako ni mtaji*

11/09/2021

Maumivu ya wengi ni haya hapa, usiumize kichwa! bofya kitufe cha WhatsApp uje uondoe huo mchosho.

09/09/2021

Mwanahawa Mashombo ni mwanajeshi Kwa mujibu wa Sheria.

Amehitimu kidato cha sita na kufaulu vizuri masomo ya sayansi na ana ndoto za kuwa daktari bingwa.

Familia yake ni duni na ni kijana pekee kwao ambaye amesoma mpaka hatua hio Kwa pesa za kudunduliza kutoka Kwa ndugu na jamaa.

Yupo kambi ya maktopora dodoma, muda wa kuomba mkopo umekaribia kwisha, Hana ndugu wala msaada.

Kichwa kinamuuma kwamba hio ndio mwisho wa Safari ya ndoto zake. Anajaribu kwenda stationary lakni anachoambulia ni kupigwa tarehe kwenda na kurudi bila mafanikio.

Kila anaemuuliza katika marafiki wenzake nae anasema abasaidiwa na hajui itakuwaje, kichwa kinavurugika na anataka kukata tamaa.

Akapata tangazo letu mtandaoni, tukamshika mkono hatua Kwa hatua, mpaka tukaikabidhi fomu yake.

Waaaww! Kwa kozi yake alipata mkopo Kwa asilimia zote (yaani priority faculty)

Majibu yametoka Kati ya wanafunzi wote walioomba mkopo, zaidi ya wanafunzi 12,000 walikosea kuomba mikopo Yao na wanatakiwa watoke huko vijijini wende Dar es salaam wakakamilishe taratibu zao Kwa gharama zao.

Kwa Sasa mwanahawa Mashombo amemaliza masomo yake bila kuwasumbua wazazi wake hela ya Ada na ni muajiriwa anaisaidia familia yake.

Je, na wewe unataka tukushike mkono uweze kuomba mkopo, kuomba chuo, au kufanya usajili mtandaoni Kwa njia rahisi?

K**a ndio tuandikie ujumbe WhatsApp # 0655415322 Sasa hivi andika "NATAKA" utapokea maelekezo vizuri.

Fanya hivyo leo upate OFFA ya 40%

NB: Tunahitaji watu wachache walio na utayari tu! hatuwezi kusaidia watu wote.

08/09/2021

Ni afsa masoko katika kampuni fulani ya uuzaji wa magari.

Licha ya ajira yake, anawasaidia wajasiriamali kutengeneza sabuni zenye kuondoa miwasho mwilini ambazo zina ubora wa aina yake kwa njia ya asili.

Ndipo akaamua kuandika kitabu kuelezea namna ya kutengeneza bidhaa hizo za kiwandani Kwa njia ya asili.

Na Sasa anahangaika kutafuta ni namna gani ataweza kukiuza kitabu chake Kwa faida ili aweze kuihudumia familia yake.

Amejaribu kupost huku na kule lakini hakuna matokeo zaidi ya comment, like na kuulizwa bei kisha wateja wanapotelea mitini na wengine wanamuambia anauza ghali na hawanunui.

Kichwa kinamuuma na hajui Nini afanye ili afikie malengo yake.

Ndipo akaamua kuja kwetu, tukamsaidia namna ya kuandika matangazo na namna ya kuyapost na kuyalipia ili yawafikie walengwa makhususi katika mitandao ya kijamii.

Ndani ya mwezi mmoja, aliuza vitabu zaidi ya 4,000 na alitengeneza faida ya milioni 3 Kwa Siku 30.

Huyo ni Godfrey Mtega. ( yake YouTube akitoa ushuhuda)

Je, na wewe ungependa tukusaidie uweze kufikia malengo yako ya kuingiza faida usiyoitarajia ndani ya mwezi?

Tuma ujumbe mfupi ktk whatsapp 0655415322 andika NATAKA ili uweze kushikwa mkono na wewe kufikia malengo.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam
14110