eTicket Online

eTicket Online

Share

Kata tiketi ya kwenda popote kupitia platform ya eTicket Online.

31/01/2023

Kuna ukweli wowote?🤔

30/01/2023

Tunapenda kutoa wito kwa mabasi ambayo bado hayajajiunga na familia ya eTicket Online kujiunga nasi. Pata maelezo kamili kupitia toviti yetu iliyopo kweny bio.

Mambo iko huku

29/01/2023

Kwa kutumia eTicket Online utaweza kukata tiketi ya basi lolote kupitia sehemu moja na utaweza kufanya kuvi ukiwa mahali popote.

Tumia Whatsapp, Instagram au Facebook, etc ngia upande wa kutuma ujumbe kisha tembea na menyu

29/01/2023

Ndugu abiria, unapokata ticket kwa njia ya mtandao kupitia eTicket Online, hakikisha lipa namba utakayojaza wakati wa hatua ya mwisho ya kulipia inasoma jina la kampuni ya basi husika

29/01/2023

Ishi kidigitali

20/01/2023
04/01/2023

Yajayo yanafurahisha

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam