kiwanja bei ya jion

kiwanja bei ya jion

Share

Tunauza viwanja vilivyopimwa kwa bei nafuu na mpango rafiki wa malipo.Utapewa hati baada ya malipo.

Photos from kiwanja bei ya jion 's post 21/07/2023
05/07/2023

Ijumaa tarehe 7/7/2023 itakua ni public holiday hivo sisi k**a fursa credit services tumewaandalia tour kutembelea miradi yetu iliyopo Kigamboni bure🔥🔥
Makutano
Makumbusho bus stand saa 2 asubuhi
Ferry kigamboni saa3 asbuhi

Usipitwe na hiii njoo ujumuike nasi kuona miradi🥳🥳🥳

Njoo inbox kuhakiki uwepo wako siti zimebaki chache 👏🏾👏🏾

03/07/2023

KIGAMBONI MWASONGA 💥💥
sasa kwa mtonyo wa buku tano tu kwa sqm moja unapata kiwanja kigamboni Mwasonga...
Viwanja vimepimwa hati baada ya malipo
Huduma za kijamii zipo
Eneo mkeka✅

30/06/2023
21/06/2023

12/06/2023

UJANJA KUWAHI UJANJA KUMILIKI ARDHI 💥💥
kumbuka unaweza lipia kiwanja chako kwa mkupuo ama kwa awamu hadi miezi 18 ukianza na kianzio cha asilimia 20% tuu..

Photos from kiwanja bei ya jion 's post 24/04/2023

Tunayo furaha kuwa moja kati ya mabalozi wa kuhamasisha Maendeleo katika jamii na kupinga ukatili wa kijinsia na mmomonyoko wa maadili.. Zoezi linalofanywa na kusimamiwa na wizara ya Maendeleo ya jamii,jinsia,watoto na makundi maalum chini ya Mh. Waziri DKT Doroth Gwajima

Photos from kiwanja bei ya jion 's post 24/04/2023

TANZANIA DEVELOPMENT FESTIVAL

umaskini ni chanzo cha ukatilii njoo tujikwamue kiuchumii.

13/04/2023

HIGHLIGHTS OF KIMBIJI OCEAN VIEW PLOTS

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


6th Floor, Delta House, Dunga Street
Dar Es Salaam