Tiba asili

Tiba asili

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili, Mlimani city, Dar es Salaam.

Hii ni page ya tiba asili za kimarekani, utajifunza magonjwa na mambo mengi kuhusu afya zetu pamoja na suluhisho la magonjwa mbalimbali, kama presha, kisukari, shida za mifupa na maungio, bawasili, vidonda vya tumbo, nguvu za kiume, tezi dume, pid,uzazi Bf Suma ni kampuni ya kimataifa iliyojikita katika tafiti na maendeleo ya kijamii, uzalishaji na usambazaji wa bidhaa lishe asilia zisizo na kem

09/05/2026

● FAIDA YA MICRO2 CYCLE TABLETS
○ Huondoa Hari ya kuganda kwa damu
○ Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi
○ Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi
○ Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe
○ Huondoa mafuta kwenye damu
○ Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri
○ Huzuia kuganda kwa damu
○ Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana na kuziba kwa mishipa midogo.
○ Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroki

● VIUONGO
○ Radix Salvia
○ Miltiorhiza
○ Radix Panax Notoginseng
○Borneolum Syntheticum
Coll +255716843582

09/05/2026

*Kansa ya utumbo mpana (colorectal cancer)* ni saratani inayotokea kwenye *utumbo mkubwa au sehemu ya mwisho ya utumbo (re**um)*. Inaweza kuanza k**a uvimbe mdogo (polyp) usio na madhara na baadaye kuwa kansa.

*Dalili zake ni:*
- Kubadilika kwa haja kubwa (kuharisha au kufunga choo)
- Damu kwenye kinyesi
- Tumbo kujaa gesi au maumivu
- Kupungua uzito bila sababu
- Uchovu mwingi
- Kuhisi haja ya choo kila mara hata baada ya kujisaidia

*Visababishi/vihatarishi:*
- Umri mkubwa (zaidi ya miaka 50)
- Historia ya kifamilia ya kansa ya utumbo
- Lishe duni (nyama nyekundu na vyakula vya kukaangwa sana)
- Kukosa mazoezi
- Kuvuta sigara na unywaji pombe
- Magonjwa ya utumbo (k**a Crohn’s au colitis)

*Uchunguzi*
- Colonoscopy
- Kipimo cha damu kwenye kinyesi (FOBT)
- CT scan / biopsy

TIBA & USHAURI
Kwa ushauri na tiba zaidi piga simu ☎️☎️+255

08/05/2026

Pata ushauri bora, jua nini utumie na nn usitumie, jua mtindo sahihi wa kuishi ili kukupa afya bora ya tendo, tiba lishe kwa mazingira ya kisasa hazikwepeki

07/05/2026

Mwanamke anaye jipenda ana jali afya yake na muonekano wake

06/05/2026

Chukua hatua sasa upone haraka

05/05/2026

Matatizo ya figo (hasa Chronic Kidney Disease au maambukizi ya figo) mara nyingi huanza taratibu bila dalili wazi. Hata hivyo, kuna ishara muhimu ambazo zinaweza kukuonya mapema:

🔍 Dalili za awali za matatizo ya figo

◇Kuchoka haraka bila sababu (mwili unakosa kusafisha sumu vizuri)
◇Kuvimba miguu, mikono au uso (hasa asubuhi)
◇Mabadiliko ya mkojo, k**a:
Mkojo kuwa na povu nyingi
Mkojo kuwa wa rangi ya damu au kahawia
Kwenda haja ndogo mara nyingi usiku
Kupungua au kuongezeka kwa mkojo bila kawaida

⚠️ Dalili za hatua za kati hadi mbaya

◇Maumivu ya mgongo sehemu ya chini (eneo la figo)
◇Kichefuchefu na kutapika mara kwa mara
◇Kupoteza hamu ya kula
◇Ngozi kuwasha sana
◇Kupumua kwa shida
◇Shinikizo la damu (presha) kupanda

🧠 Dalili nyingine muhimu

◇Kukosa usingizi vizuri
◇Misuli kukaza au kupata degedege
◇Kupungua uwezo wa kufikiri au kuchanganyikiwa (advanced stage)

📌 Sababu kuu za matatizo ya figo

◇Kisukari (Diabetes Mellitus)
◇Presha (Hypertension)
◇Maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo
◇Matumizi mabaya ya dawa (hasa za maumivu kwa muda mrefu)
◇Kunywa maji kidogo kwa muda mrefu

🚨 Unapaswa kufanya nini?

◇Nenda hospitali ufanye vipimo k**a creatinine, urea na urine test
◇Pima presha na sukari mara kwa mara
◇Kunywa maji ya kutosha
◇Epuka kutumia dawa bila ushauri wa daktari

Kwa ushauri na mupata tibalishe zenye uwezo wa kukusaidia nichek

Whatsapp/call 0716843582

04/05/2026

*Uke Mkavu (Vaginal Dryness)*

✅ *1. Maana:*
Uke mkavu ni hali ambapo uke *hukosa unyevu wa kutosha*, hasa wakati wa tendo la ndoa au hata katika hali ya kawaida. Hii hupelekea maumivu, muwasho, na kutofurahia tendo la ndoa.

✅ *2. Aina:*
1. *Ukaushaji wa muda mfupi* – kutokana na mabadiliko ya homoni au msongo wa mawazo.
2. *Ukaushaji wa muda mrefu* – hutokea hasa kwa wanawake walio karibu au waliokoma hedhi (menopause), au baada ya upasuaji.
3. *Ukaushaji unaosababishwa na dawa/ magonjwa* – mfano: dawa za allergy, chemotherapy, au kisukari.

✅ *3. Dalili:*
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kuwashwa au kuhisi kuungua ukeni
- Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
- Kutokwa na damu kidogo baada ya tendo
- Kuhisi uke kuwa “mkavu” au kubana sana

✅ *4. Madhara:*
- Kuathiri uhusiano wa kimapenzi
- Kuongeza uwezekano wa maambukizi (k**a fangasi au UTI)
- Maumivu ya mara kwa mara ukeni
- Msongo wa mawazo au kushuka kwa hali ya kujiamini

Kwa tiba njoo inbox

01/05/2026

Matatizo ya moyo na presha (shinikizo la damu) husababishwa na mchanganyiko wa mambo ya maisha, magonjwa, na urithi. Hapa chini ni visababishi vikuu vinavyopaswa kujulikana:
🔴 1. Mtindo wa maisha usiofaa
Kula vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi nyingi
Kutofanya mazoezi (mwili kutokuchangamka)
Unywaji wa pombe kupita kiasi
Kuvuta sigara
👉 Haya husababisha mishipa ya damu kuziba au kuwa migumu, hivyo kuongeza presha na hatari ya magonjwa ya moyo.
⚖️ 2. Uzito kupita kiasi (unene)
Mwili unapokuwa na mafuta mengi, moyo hulazimika kufanya kazi zaidi kusukuma damu
Huongeza hatari ya presha, kisukari, na magonjwa ya moyo
🧬 3. Kurithi (genetics)

30/04/2026

Nguvu ya NMN, ni****ne amide mono nucleotide, hurepear DNA na kukupa muonekano wa ujana muda wote, na kukupa afya njema

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mlimani City
Dar Es Salaam
234