Kibamba MPYA & Maendeleo

Kibamba MPYA & Maendeleo

Share

HUU NI UKURASA WA KUPATA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA KIBAMBA MHESHIMIWA ISSA JUMANNE MTEMVU.

30/05/2022

Siku ya Leo 30/05/2022 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amefanya Ziara katika Wilaya ya Ubungo ambapo alitembelea Stendi ya Mabasi yaendayo Mikoani ya Magufuli (MAGUFULI BUS TERMINAL) kwa ajili ya Ukaguzi wa Mradi lakini kusikiliza na Kutatua kero zote ambazo zipo Ndani ya Stendi .

Katika Ziara yake hiyo Mhe.Innocent Bashungwa alipokelewa na Viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James ns aliambatana
na Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mhe.Issa Jumanne Mtemvu , Viongozi Wa Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Ubungo akiwemo Mwenyekiti Mhe.Lucas Mgonja pamoja , Mh.Jaffar Juma Nyaigesha
Mstahiki Meya na Diwani wa Kata ya Ubungo pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ndg.Beatrice Dominic.











30/05/2022

MAENDELEO NI MUHIMU SANA LAKINI ILA UPATIKANAJI WAKE HUWA NA MCHAKATO WAKE .

Moja ya vipengele vinavyotakiwa kwenye Mchakato wa kupata Maendeleo ni Kupata Viongozi Wazalendo na Wenye Nia ,Kusudio na Uthubutu mkubwa wa Kusaidia Jamii hasa Wanapopata Nafasi ya Kuwakilisha Vyema Watu wengine kwa Kuanza Kutatua Matatizo na Changamoto lakini pia Kufanya Kazi kwa Kasi na bidii na kwa usiku umakini mkubwa mchana na Usiku kuhakikisha Yale yanayohitajika yanapatikana kwa Wananchi .

Katika Jimbo la Kibamba K**a Kiongozi tunaye na Yuko vizuri Ni Mheshimiwa Issa Jumanne Mtemvu Mbunge wa Jimbo la Kibamba anahakikisha Jimbo letu halilali











Kazi Inaendelea Vyema.

17/04/2022

Tunawatakia Sikukuu njema ya Pasaka wananchi wa Jimbo letu la kibamba na Watanzania wote .



CCM Tanzania
Uvccm_ubungo
Ubungo Manispaa

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Kibamba
Dar Es Salaam