15/01/2024
Ukienda Moshi Kilimanjaro ndani ndani huko Mkungu wa ndizi unapata kwa 2500 umekaza sana 3000 🤣🤣. Na kuna maeneo kweli Ndizi zinapatikana za kutosha.
Jana kuna Mdada nimekutana nae Kariakoo ndizi moja kaniuzia kwa 300 nikabaki kukumbuka mkungu wangu Kijijini 😁

14/01/2024
18/08/2023