Magufuli Memory

Magufuli Memory

Share

THIS PAGE IS FOR OUR BELOVED PRESIDENT MAGUFULI @2021

21/11/2025

11/11/2025

11/11/2025

kukosea ndio kujifunza karibu

22/10/2025

: Aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dokta John Pombe Magufuli alivyochukua Camera na kuwa Mpiga Picha kwa Muda

06/10/2025

God Be With You

24/09/2025

"Kwanza kabisa awe ni Mtanzania, awe na miaka 25 na kuendelea. Na asiwe na kumbukumbu makosa yoyote ya uhalifu. Asiwe amewahi kutiwa hatiani.

"Asiwe mtu anayetumia dawa za kulevya au vilevi. Awe na akili timamu. Awe na matishio ya kiusalama sio kwamba kila mtu anaibuka kwenda kununua na kumiliki silaha.

"Jeshi la polisi k**a taasisi yenye dhamana ya kumiliiisha silaha raia. Tunamilikisha silaha pale tunapoona mtu ana matishio ya kiusalama, sio kwa show off. Hizo ndizo sifa za kumfanya mtu kumiliki silaha"- Inspekta Sylvanus James Rweyemamu, Kutoka Makao Makuu Ya Jeshi Kitengo Cha Udhibiti Wa Silaha Na Risasi.


23/09/2025

Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar Es Salaam