Cassim Sports

Cassim  Sports

Share

Kwa Ajili Ya Kuhabarishana Habari za Michezo na Burudani

13/05/2026

90+ DODOMA JIJI 3-2 YANGA

⚽️⚽️ Okello

⚽️ Mwamnyeto (OG)
⚽️ Ambundo
⚽️ Waziri Je


Hakuna timu Ambayo haikupotez msimu huu baad ya yanga kupasuka

09/05/2026

AMEANDIKA FARHAN SHABIKI WA SIMBA

Allan anaufanya mpira uonekane mwepesi sana, anaamua yeye muda gani afunge na muda gani atoe assist,

Yanga wanaufanya mpira uonekana mwepesi sana utawaambia nini Maxi Nzengele is balling to the Maximum, yule Pacome anaamua tu come one come all na bado anacheza atakavyo,

Yule Dube utaamua wewe umwite Striker ama Kiungo ila he is the real Prince pale mbele,

Yanga Afrika wamepiga game ya maana sana kumshusha pale kileleni ni ngumu zaidi ya kumrudisha Shishi Igunga, kila mtu aandae Mabegi yake niliwahi kusema hawakosei mara mbili Pure Football they just mean business.

✍️ Farhan

Wana Simba si mnaona Farhan mwenyewe kanyoosha Mikono juu?

09/05/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League 🇹🇿

YOUNG AFRICANS SC 3️⃣➖️0️⃣ COASTAL UNION FC
⚽️ 18" Okello
⚽️ 63" Okello
⚽️ 71" Nzengeli

Photos from Cassim  Sports's post 07/05/2026

Abdihamid Moalin na Patrick Mabedi wameanza kazi ya kukinoa kikosi cha Young Africans k**a wakuu wa benchi la ufundi baada ya Pedro Goncalves kufutwa kazi hapo jana

07/05/2026

AMEANDIKA ALLY KAMWE.

Kuwasaidia hawa Machawa wenu ili wawe na kazi rahisi ya kuisema Yanga kuwa imeshuka Ubora Msimu huu, Futeni kwanza hilo GAPE LA POINTI 5 hapo .. Vinginevyo Hela mnazowapa zinawafanya waonekane wehu tu

Nguvu ya kuisema Yanga iendane na Nguvu ya nyie kushinda. Uwanjani.. Haiwezekani Timu mbovu iwaburuze hivyo 😝😝

UNADHANI NI WACHAMBUZI GANI WAMELENGWA HAPA?

06/05/2026

Yanga bila Pacome leo watatoboa ?

06/05/2026

“Jana nimemsikia Msemaji wa KMC akiwaambia Waandishi wa Habari kuwa Leo wanakuja kushindana na Yanga kwa ajili ya kuwarudisha Simba kwenye mbio za Ubingwa”

“Alienda mbali zaidi kwa kusema leo usiku viongozi wa Simba watampigia Simu kumpongeza kwa kazi watakayoifanya Leo.”

“Kwa kifupi, Malengo ya KMC kwenye mechi ya Leo ni kuisaidia klabu ya Simba mbele ya Yanga.”

“Hili Litapita kimya na Halina Uchambuzi wowote. Hutamsikia (JumaAyo) akipiga simu kwenye Mamlaka za Soka kuuliza k**a ni sawa au vipi

“Hutaona mijadala yoyote kwenye radio kwamba KMC wako Ligi Kuu kwa ajili ya kutimiza malengo ya Simba.”

“Subiri sasa siku Msemaji wa timu nyingine aseme wanakwenda kuipa Yanga Ubingwa kwa kuifunga Simba, uone jinsi maandamano ya maandiko yatakavyokuwa kuelekea TFF..

“Niwaombe Mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga.. Vita inazidi kuwa kubwa sana. Tusirelax hata kidogo.”

“Kama tulivyokubaliana, Huu UBINGWA WA 5 wa Ligi Kuu hautakuwa rahisi. Ni lazima tujidhatiti wenyewe na Focus iwe kwenye chama Letu kutape matokeo mazuri"

✍️Ali Kamwe,
Msemaji wa Yanga.

04/05/2026

Ally Kamwe ameanza tambo 🤔

04/05/2026

Ahmed Ally 🇹🇿 kuhusu Mohamed Damaro 🇹🇿

03/05/2026

Mnyama akijichanganya Tu vita na Yanga Inaisha anaingia vitan na azam kutafuta nafasi pili

03/05/2026
Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar Es Salaam