Tukuombee Nini

Tukuombee Nini

Share

(Mathayo 7: 7)
Ombeni� nanyi mtapewa�

Photos from Tukuombee Nini's post 14/12/2022

ISAYA 42: 22
MAOMBI YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WATEJA💥) (NDOA❣ILIYO POTEZA UPENDO💓) (MAHUSIANO YALIYO POTEZA MALENGO🤝) (KUINULIWA KIUCHUMI💸) (KAZI ILIYO POTEA🤦‍♀️) (TUMBO LISILOWEZA KUBEBA MTOTO) Yote yatarejeshwa kwa jina la Yesu🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

26/11/2022

YAWEZEKANA KUNA MAZINGIRA UNAPITIA💘😢, YAWEEKANA KUNA HALI UNAPITIA, KIASI KWAMBA UNATAMANI KUJIUA😭 UTOWEKE DUNIANI🛌
NAOMBA NIKWAMBIE KUNA MUNGU ASIYESHINDWA NA JAMBO LOLOTE YUKO PAMOJA NAWEWE NA ATAKUSHINDIA YOTE💯

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

26/11/2022

MAOMBI MAALUM YA KUKU KUTANISHA NA MTU/WATU, SAHIHI KWENYE MAISHA YAKO ILI UFIKIE HATIMA YAKO.👉MUME SAHIHI👉MKE SAHIHI👉MARAFIKI SAHIHI👉MCHUMBA SAHIHI👉BIASHARA SAHIHI👉FAMILIA SAHIHI👉KAZI SAHIHI💥.
Na akuondolee watu wasiofaa wote kwenye maisha yako kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Ubungo Sheklango
Dar Es Salaam