Skauti Katoliki

Skauti Katoliki

Share

UFAFANUZI:
Skauti ni jambo la hiari lisilo la kisiasa
harakati za elimu kwa vijana
watu hufungua kwa wote bila
tofauti ya asili, rangi au imani.

KUSUDI LA HARAKATI ZA Skauti:
Madhumuni ya Harakati za Skauti

01/06/2026

Skauti Katoliki Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam wakiwa katika Utume wao na Majukumu yao. Kupokea sanamu ya Mama Bikira Maria na kuipeleka Parokia ya Bikira Maria wa Fatima Msimbazi Center.

01/06/2026

Master Petrol, Master Saimon na Master Celina katika Utume Parokia ya Bikira Maria wa Fatima Msimbazi Center.

01/06/2026

Master Celina katika Utume wa kupokea Sanamu ya Mama Bikira Maria Parokia ya Bikira Maria wa Fatima Msimbazi Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam

01/06/2026

Master Saimon akiwa katika Utume wake, Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam katika kupokea sanamu ya Mama Bikira Maria wa Fatima

01/06/2026

Skauti Katoliki Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam katika Utume.
MAPOKEZI YA SANAMU YA MAMA BIKIRA MARIA JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM
Matembezi ya sanamu ya Mama Bikira Maria yalivyopokelewa na Waamini katika Kanisa la Bikira Maria wa Fatima Msimbazi, Jimboni Dar es Salaam.

01/06/2026

Skauti Katoliki katika Utume

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Isevya
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00