Kila Neno linalotoka katika Dua, Sala na Maombi; Amini hayo maneno hayatopotea. Ipo siku utalia machozi yafuraha. Endelea kuomba.
Maombi ya taifa Ijumaa, Jumamosi na Jumapili
Ukurasa huu ni maalumu kwaajili ya maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania
Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Mohamed Baamar, Hassnahu Mboto, Halfan Mashaka, Lucas Joseph, Matidona Faustin, Aizack Ngiliule, Malema Malema
MAMBO MUHIMU KATIKA MAOMBI
1. KUTUBU- mtu mmoja anatosha kutubu kwaajili ya wengi
2. KUTO KUKATA TAMAA- Aombaye na asiwe na shaka Aamimi
3. SIMAMIA NENO- Neno ni Mungu Mwenye
4. WAKATI- Maombi ni muda wote/maombi ni zaidi ya mawasiliano kwa MUNGU
OMBA KWAAJILI YA VIONGOZI WA SERIKALI KUANZIA NGAZI YA JUU KABISA HADI NGAZI YA CHINI. KUNAHAJA KUBWA SANA YA KUWAOMBEA VIONGOZI WETU, WASERIKALI, HALI SIO NZURI TUENDELEE KUMKABIDHI MUNGU TANZANIA
TUENDELEE KUWAOMBEA WENZETU HANANG (MANYARA) NA TAIFA LETU
Biblia inasema watashindana lakini hawatashinda" kwa hiyo lazima vita viwepo, haijalishi ni vita gani ila ushindi kwao ni hapana
ANZA KUWA NA MOYO WA SHUKRANI KWA MUNGU
Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; (1timoth2:1)
I exhort therefore, that, first of all, supplications, prayers, intercessions, and giving of thanks, be made for all men;
Usjali kuskia kuwa kuna changamoto Fulani katika hiyo changamoto ukiinua shukrani mbele za MUNGU bila kujali ukubwa wake utaanza kuona MUNGU akifungua malango,
Inua IMANI yako, inua moyo wako ili kushukuru mbele za Bwana
Mungu anapendezwa na moto wa SHUKRANI, hivyo k**a watanzania tukianza kuwa na IMANI inayo ambatana na SHUKRANI hatak**a bado hujaona matokeo ,hapo malango yatakayo funguka kwaajili yako.
Hivyo natamani sasa k**a watanzania wenzangu tuwe watu wa SHUKRANI Biblia inasema mshkuru MUNGU kwakila jambo
Mungu akutie nguvu ya IMANI na SHUKRANI ndani yako . unarikiwe hivyo kuanzia kesho tutaanza maombi maalumu tukiendelea kumshkuru MUNGU kwa IMANI kuwa anatenda makuu na kwenye kuleta uzima pale tunapoona hapana uzima..
MUNGU ALIYE HAI ,HALISI NA MWENYE KUJIBU
Yetemia 33:3 MUNGU alisemaTUMUITE ( tumuombee) Akaahidi hato NYAMAZA, akasema NITAWAONYESHA ( atatufunulia au atatujibu au atatupa SIRI)
JE, SIRI ni nini? Kilicho fichika au TUSICHO KIJUA
SOMA zaburi 24:14, ( SIRI ya BWANA IPO kwao wamchao au watumishi Wa MUNGU) Kwa lugha nyingine MUNGU huwa anaachilia MAJIBU kwa WATU WAKE hajasema MCHUNGAJI, wala NABII, wala ASKOFU, wala SHEIHK , wala MUINJILIST, wala IMAMU badala yake amesema KWAO WAMCHAO yaani ILIMRADI UNAMCHA MUNGU .
"Lakini huko, k**a mkimtafuta Bwana, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote. " ( Kumb 4:29) , mathayo 7:7
"Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia Bwana, Mungu wako, na kuisikiza sauti yake;" (Kumb4:30)
- Mungu aliye Hai maana yake ni Mungu anaishi milele na pia ndiye aitwaye MUNGU Wa kweli na HALISI
- KINYUME cha MUNGU aliye HAI ni mungu SANAMU au mungu asiye Wa kweli Na ni mungu asiye JIBU
-tafsiri ya kusikiliza SAUTI maana yake ana ZUNGUMZIA transaction miongoni mwawaombaji na MUNGU (Mahojiano kuwa unaongea naye anajibu)
Bali Bwana ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake. (Yeremia10:10)
NB- nisikilize mtu Wa MUNGU si neni habari za DINI au dhehebu au kabila,au Rangi Nyakati hizi ni Nyakati TOFAUTI ambapo DINI yako, DHEHEBU lako aliwezi kukupeleka MBINGUNI nilazima UMJUE MUNGU halisi, Wa kweli na MWENYE KUJIBU
ULIMWENGU upo kwenye KIPINDI KIGUMU sana KWAKUWA wanashindwa KUISIKIA sauti ya MUNGU na KUPONYWA kwasababu WAPO MBALI MNOO wamechanganywaa. LIKINI nazungumza na MTU mda huu ambaye AKINIELEWA ATASHINDA na ATAZIONA KAZI za MUNGU waziwazi. MUNGU akubariki
ASOMAYE NA AELEWE KUHUSU SIKU YA TATU YA HAYA MAOMBI
NENO. (Hosea 6:2. Esta 5:1, math16:21 n.k)
"Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, nasi tutaishi mbele zake.
After two days will he revive us: in the third day he will raise us up, and we shall live in his sight." (Hosea 6:2)
Ikawa siku ya tatu Esta alijivika mavazi yake ya kifalme, akasimama katika ua wa ndani wa nyumba ya mfalme, kuielekea nyumba ya mfalme; naye mfalme akaketi juu......…(Esta5:1- )
SIKU YA KWANZA --- ilikuwa ya UPATANISHO kupitia TOBA katika DAMU ya YESU
SIKU YA PILI --- ilikuwa ya UPONYAJI katika Afya yaani wagonjqa woteee, kuhuisha kwa Lugha nyingine KUKAUSHA VIRUSI VYA KORONA
SIKU YA TATU---ilikuwa ni UHURU ambao HATUKUA NAO awali HIVYO
: TANZANIA ipo Kwenye MIKONO SALAMA YA MUNGU lakini KWA WALE AMABAO WATAKUWA WAAMINIFU KIROHO (imani, nakuto kutenda DHAMBI Tu)
K**a unaamini SEMA . ASANTE YESU
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
@DANIELMSUYA
