05/06/2021
Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, jana tarehe 04/06/21 amefanya kikao cha utambulisho na watumishi wa CCM Makao Makuu, ametilia mkazo kuendelea kusimamia Katiba, Kanuni, Taratibu, na Utamaduni wa Chama ili kuongeza ufanisi na uwajibikaji ndani ya Chama. .
21/02/2021
Magomeni, Dar Es Salaam, Tanzania
25/01/2021
UVCCM Wilaya ya Kinondoni imeandaa Mkutano Mkuu wa UVCCM.
25/01/2021
UZINDUZI WA BIMA YA AFYA KWA WAZEE WA MZIMUNI
Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. MANFRED CHRISPINE LYOTO leo tarehe 24-01-2021 amezindua na amewapatia bure kadi za Bima ya Afya wazee Ishirini [20] kutoka mitaa minne [4] ya Kata ya Mzimuni ambapo kila Mtaa walipatiwa wazee watano [5] kadi hizo.
Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi [CCM ] Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Wilaya ya Kinondoni ndg. Bi. Joha Dolle, Mwenyekiti wa Kata ndg. Hassan Yahaya, Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM [UVCMM ] ndg. Hemed Salimu (); Wenyeviti wa mitaa wote na wajumbe wao wa kamati za mitaa; Wasaidizi wake Diwani na baadhi ya wazee wa Kata.
Zoezi la kuwapatia wazee kadi za Bima ya Afya litakuwa endelevu na ni kwa gharama zake binafsi mwenyewe Diwani. @ Magomeni Mikumi Lango La Jiji
11/10/2020
TAARIFA KWA UMMA
Ratiba ya Mikutano ya Kampeni kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Jijini Dar es salaam.
@ Magomeni, Dar Es Salaam, Tanzania
10/10/2020
Picha ikimuonyesha mgombea udiwani wa viti maalum Kata ya Mzimuni Ndg. AZIZA MOHAMMED hapo jana akiwa katika mstari wa wagombea udiwani wote wakila kiapo mbele ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Joseph Pombe MAGUFULI kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa [Uwanja wa Taifa].
10/10/2020
KATIKA MKUTANO WA KAMPENI DSM KWA MKAPA.
Mgombea udiwani wa Viti maalum Kata ya Mzimuni ndg. AZIZA MOHAMMED ALIKUWEPO.
10/10/2020
KATIKA MKUTANO WA KAMPENI DSM KWA MKAPA.
Diwani wa Viti maalum Kata ya Mzimuni ndg. AZIZA MOHAMMED ALIKUWEPO.