Latra ccc

Latra ccc

Share

Waweza kusoma sheria zaidi kwenye website yetu ambayo ni www.latraccc.go.tz

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA Consumer Consultative Council), lipo kwa mujibu wa Kifungu Namba 29 cha Sheria namba 3 ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, (LATRA) ya Mwaka 2019. Sheria hiyo inatoa wajibu kwa Baraza kwa:
(i) Kuwakilisha maslahi ya watumiaji wa huduma za usafiri Ardhini, kwa kuwasilisha, kupata maoni na taarifa na kwa kushauriana na Mamlaka, Wa

03/09/2023

SALAMU ZA PONGEZI.

09/07/2023

Mwenyekiti wa LATRA CCC Dkt George Makuke akiwa kwenye picha ya pamoja na Sekretarieti ya Baraza.

Dkt Makuke ameungana na Sekretarieti kwenye kutoa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini.

LATRA CCC wanapatikana Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44,kwenye Maonesho ya Sabasaba.

09/07/2023

Dkt.George Makuke Mwenyekiti wa LATRA CCC,aliungana na Sekretarieti ya Baraza katika kutoa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kwenye maonesho ya Sabasaba.
Tunapatikana Banda la Jakaya Kikwete Chumba namba 44.KARIBU TUKUHUDUMIE.

Photos from Latra ccc's post 08/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa.
Leo tumetembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof. Said Aboud, amepatiwa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini.
Karibu Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

07/07/2023

Heri ya Sikukuu ya Sabasaba.Karibu kwenye banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

Photos from Latra ccc's post 06/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba.Karibu Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

06/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba ndani ya Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44,Baraza limepata wageni wa usafirishaji kutoka Afrika Kusini.

06/07/2023

Karibu banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.Maonesho ya Sabasaba,tukuhudumie.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam
VICTORIAHOUSE,BAGAMOYOROAD,9THFLOOR,ROOMNO:25