18/01/2023
ya kujipima Nafsi yako ina madhaifu kiasi gani au ina ubora kiasi gani ni kujiangalia unavyolala na unavyoamka ni mtu yuleyule? Unavyoshinda na unavyolala ni mtu yuleyule? Unalala na furaha unaamka na furaha? Au unalala na chuki unaamka na chuki? Namna Nafsi yako unavyozungumza nayo, unavyoshauriana nayo, unavyoipa chuki au furaha ndivyo unavyojijenga na kuwa mtu bora au mtu wa hovyo, MY FRIEND ISHI NAFSI YAKO IKIWA SAFI

18/11/2022
08/07/2022
01/01/2022