Future Scholars

Future Scholars

Share

Future Scholars welcomes you and your child to a wonderful school experience! Your child's education

Photos 13/03/2017

Shule bora kabisa kwa Mtoto wako.Mlete tumpatie elimu bora kabisa

Photos 01/01/2017

Tunakutakia Heri ya Mwaka mpya ewe nduge yetu.Mwaka huu uwe wa kheri na mafanikio tele.

Photos 21/10/2016

Quiz Time
Mjaribu mwanao kujibu swali hili kati ya herufi hizi nne A B C D na picha hizi mbili ipi herufi inaendana na Picha ?

Photos 21/10/2016

mjaribu mwanao kuona k**a anaweza kuitambua herufi.Angalia hii picha na mpe mwanao ajaribu kukupa jibu

Photos 21/10/2016

Kusoma vitabu kunasaidia sana kuongeza maarifa.Msaidie mwanao kujua faida za kusoma vitabu mara kwa mara.Mzuie kutumia mda mwingi kutazama sinema.

Photos 21/10/2016

Wakati mwingine mfanye mwanao aone umuhimu wa kutafuta solution kwa mambo yanayomuhusu.Hii itamjengea uwezo wa kufikiria majawabu

Photos 21/10/2016

Mfanye mwanao aone umuhimu wa kushirikiana na marafiki zake katika kujifunza.Hii itamsaidia kuwa na uwezo wa kujigawia majukumu

Photos 20/10/2016

K**a mzazi hakiksha kila mara unamsimulia mtoto wako hadithi yeyote au unamuimbia nyimbo wakati anapolala.Hii inasaidia kumpatia mtoto uwezo wa kuwa msikivu.

Photos 20/10/2016

Jitahidi sana kumwezesha mwanao kulala mapema.Maana anahitaji kupumzika ili ukuaji wake uwe mzuri hasa kwenye ubongo wake.

Photos 20/10/2016

Tunajenga Msingi ulio Imara kwa maisha bora ya Mwanao

Photos 20/10/2016

At Future Scholars,we encourage children to observe, think and wonder. For years, we have watched little miracles grow. It has always been our endeavor to create for every child, rich and challenging experiences to promote learning and growing.Call+255688144339

Photos 20/10/2016

Hakuna sababu ya kumwacha mwanao akiwa na huzuni kwa kukosa Faraja yako.Kwetu tunamfanya awe na Tabasamu siku nzima huku akipatiwa maarifa yaliyo sahii katika ukuaji wake

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mbezi Beach
Dar Es Salaam