Usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits)
Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :-
1. haujai kamwe
2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza)
3. hakina harufu
4. Kinatumia eneo ndogo (small space)
4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam
5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi
6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli)
7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu.
Bei ni maelewano
Usisite kutupigia ama kuwhatsapp kwa maelezo zaidi.
Kupata huduma hii au Kwamaelezo zaidi piga sm📲☎️📞 kwa namba 👇👇
Cc
>Whatsapp..+255656 843 151
>Whatsapp.+255788679682
>📲☎️📞📠..+255 656 843 151,
Mzee Abdalla Public service

30/10/2022