21/08/2019
ATM- like sanitary pads project done by a Tanzanian student at the University of Dar es Salaam
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaClick, Social service, Dar es Salaam.
21/08/2019
ATM- like sanitary pads project done by a Tanzanian student at the University of Dar es Salaam
21/08/2019
Mapambano kukomesha vifo vya uzazi bado yanahitajika Kila mtu ana wajibu wa kushiriki vita ya kukomesha vifo vya wajawazito na watoto vitokanavyo na uzazi usio salama.
21/08/2019
Je, unahifadhi chakula gani katika friji lako? Vyakula vinavyokaa kwenye jokofu kwa muda mrefu husababisha virutubishi huwa vinapungua.
21/08/2019
Je ndio kupatikana tiba ya Ebola? Wanasayansi wanasema hatua hii inaashiria kuwa Ebola hivi karibuni ''itazuiwa na kutibika''.
21/08/2019
Serikali ya Tanzania yaeleza hatua uboreshaji wa huduma za afya Serikali ya Tanzania imeahidi kushughulikia kero mbalimbali zinazoendelea katika huduma za afya hususani kwa wakazi wa maeneo ya vijijini kupitia utekelezaji wa miradi chini ya Rais John Magufuli.
21/08/2019
14/08/2019
14/08/2019
Even people who aren't sick may not have optimal wellness as known from ages that "If you don't take care of yourself, the undertaker will overtake that responsibility for you."
in a nutshell, Health is Wealth. Keep Being Healthy 😀