2bett

2bett

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 2bett, Library, Dar es Salaam.

Photos 22/08/2016

Tutakusaidia kufanya ubashiri wa michezo mbali mbali,tukikupa ushauri na mapendekezo ya michezo ya kuibetia na sababu chanya za kufanya hivyo.
jiunge nasi sasa.

17/08/2016

Habari za asubuhi wanafamilia.Nimatumaini yangu mko na furaha tele baada ya mechi zetu za jana kushinda k**a tulivyobashiri..Baasi kaa mkao wa kula kwa mkeka wa leo.
Nak**a bado hauja like page yetu basi fanya ku LIKE sasa hapa
https://www.facebook.com/2bett-1132518413502439/

2bett Library

Photos 16/08/2016

2BETT.
umekuwa ukifikilia ni timu gani ya kuibetia siku ya leo?
Basi tumishaandaa mkeka kwa baadhi ya mechi na timu ambazo zinapewa uwezo mkubwa zaidi wa kushinda katika michezo ya leo.
Tafadhali chukua chaguo lako hapa au kopi k**a ulivyo.usihofu tuna uhakika na ushindi katika timu hizi
bett sasaaaaah....

Nini maoni yako?

Photos 15/08/2016

2BETT
Ligi mbali mbali zinaendelea leo.
ikiwemo ligi ya EPL kuna mchezo dhidi ya chelsea na west ham united.Huu ni mchezo wa kwanza wa kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte.
pia tutazamia michezo mingine mbali mbali,huku tukibashiri matokeo ya michezo hiyo.
huna sababu ya kuhofia amini,lazima ushinde.
Tazama mkeka wa leo.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam