14/07/2025
Forever
MUNGU KWANZA
14/07/2025
Forever
12/06/2025
Nasikia kuna viongozi wamenyoosha mikono na kuanza kuomba TFF iwasamehe na iwape muda wa kujiandaa na Derby.
Hii ni baada ya mkurugenzi wao wa Fedha kukili mbele ya CEO na njia ya simu kwa Rais wao kuwa "Ni kweli TFF hatuidai baada ya kupitia mafaili ya miamala yote"
Rais wao alipomuuliza mtunza kumbukumbu za Fedha wao kwanini alitoa taarifa za uongo kuwa wanaidai TFF? Jibu likawa "kuna kumbukumbu za baadhi ya email Tulizi Archive"
KUSHINDANA NA BABA YAKO INAHITAJI MSULI.
27/04/2025
Dar Es salaam is happy, Tanzania is happy, East and Central Africa is happy. This is Simba SC Brother.
27/04/2025
To work with Al Ahily is not a joke. See you Marcello Koller
Kaka chunga sana baby wako ujue Ramadhani imeisha, Mashehe wako huru sasahivi. Usije sema sijakuambia ohoo!!
Si mmesema mnataka ABAYA na sio Vijola. Haya sasa humo ndio dukani kanunueni.
Ijue tofauti ya Iftal na Futali wewe. Sitaki miariko yenu bhana
01/03/2025
Katika majibizano yote ya Rais wa Marekani na Ukraine, picha hii ndio kitu pekee kimenisikitisha sana. Huyu ni Bi Oksana Markarova ambae ndie balozi wa Ukraine nchini Marekani na hapa alijiinamia kwa uchungu mkubwa baada ya boss wa (Rais wa Ukraine) kuamriwa anyamaze na aache kuiambia Marekani au kuipangia Marekani nani na ni kipi cha kuhofia.
26/02/2025
All the best Diamond
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |