15/08/2023
Maarifa kitaa
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maarifa kitaa, Library, Dar es Salaam.
15/08/2023
12/08/2023
Usipokua na uwezo mzuri wa kiuchumi ni ngumu Sana kupata nafasi ya kusoma na kujifunza kwenye shule ama vyuo vya gharama, lakini jambo hilo ni rahisi sana kupitia maktaba kwani utaweza kusoma na kupata maarifa kwenye vitabu vilevile wanavyosoma matajiri ama watu wenye mafanikio zaidi ulimwenguni. Yani kitabu kile kile anachosoma Elon musk, mark Zuckerberg, Jeff Bezos, Billy gates, Dangote, na wengineo wengi na kisha ukajifunza vya kutosha.
12/08/2023
Happy librarians day!
07/08/2023
Tuwafundishe watoto wetu kwamba kuweka lengo lenye uhakika ama kusudi, ikiambatana na mipango dhahiri na ustamilivu kisha kuweka juhudi madhubuti kutimiza lengo ama kusudi hilo ndo aina pekee ya maombi yenye ufanisi zaidi kwa mwanadamu na yana asilimia kubwa kupata majibu chanya.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
