Tanzania Immigration Services Department

Tanzania Immigration Services Department

Share

Welcome to the Tanzania Immigration Services Department Official page. Karibu Uhamiaji

11/04/2026

πŸŽ™οΈπŸ”₯ KIJIWE CHA UHAMIAJI πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Uraia sio jina tu… ni utambulisho, haki na wajibu wako πŸ’―

πŸ‘€ Fahamu tofauti ya uraia:
βœ”οΈ Kuzaliwa
βœ”οΈ Kurithi
βœ”οΈ Tajnisi

🎧 Episode hii ina majibu yote!
πŸ’‘ Elimu sahihi ni nguvu

πŸ‘‡ Comment, Share & Save

24/03/2026

Pasipoti si kitabu tu… ni ufunguo wa ndoto zako 🌍✈️
Ni hatua ya kwanza kutoka hapo ulipo kwenda kule unapotaka kufika.

Fuata taratibu sahihi.
Safari ya mafanikio haianzi uwanjani, inaanzia kwenye maamuzi ya leo.

Dunia iko wazi… swali ni, uko tayari kuifungua? πŸ”“πŸŒ

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

27/01/2026

Our Commander in Chief
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

12/12/2025

10/11/2025

05/11/2025

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ›‘οΈ KIJIWE CHA UHAMIAJI

Uchaguzi mkuu umekamilika, maisha yaendelee! πŸ—³οΈ
Tunawakumbusha Watanzania kuendelea kulinda usalama wa nchi yetu kila siku, si tu wakati wa uchaguzi. πŸ‘€
Mjue jirani yako na endelea kutoa taarifa za wageni au wahamiaji haramu wanaofanya mambo kinyume cha sheria. 🀝
Tanzania salama ni yetu sote! πŸ’ͺ

28/10/2025

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ›‘οΈ KIJIWE CHA UHAMIAJI

Tunawakumbusha Watanzania kuendelea kuilinda amani ya nchi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 πŸ—³οΈ
Hakuna raia wa kigeni anayepaswa kujipenyeza kushiriki katika uchaguzi πŸ™…β€β™‚οΈ
Taarifa mlizotoa zimeleta matokeo chanya πŸ™Œ
Endeleeni kutoa taarifa za wahamiaji haramu na wageni wanaofanya mambo kinyume cha sheria 🀝
Tanzania salama inaanza na wewe πŸ’ͺ

18/10/2025
16/10/2025

🎸🎢🎷🎺πŸ₯

16/10/2025

Mhamiaji Haramu ni nani!

Photos from Tanzania Immigration Services Department's post 14/10/2025

KWA UMMA RELEASE

08/10/2025

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TRITA COUNTDOWN ALERT! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

⏳ 36 days to go until the 5th Workshop on Migration Management!

πŸ“… 13–15 Nov 2025
πŸ“ Malaika Beach Resort – Mwanza

🎯 Theme: β€œSustainable Migration Management: A catalyst for Business & Investment Enhancement towards Vision 2050”

πŸ’° Fee: Tsh 1,000,000/= (Meals, Materials & Serengeti Tour πŸ¦’)

🌐 Register now: tsms.trita.ac.tz/application

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Loliondo Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:00
Tuesday 08:00 - 15:00
Wednesday 08:00 - 15:00
Thursday 08:00 - 15:00
Friday 08:00 - 15:00