Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua mwenyewe
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema
Ukaweka na make-up na weave mpya.
Akakuchukua kwa ajili ya lunch Serena hotel
Akakuagizia na soft drinks
Mkawa na muda mzuri pamoja
Akakushika mkono
Akakufanya uwe unacheka muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda
Ikawa k**a umemjua kwa miaka
Akakuchukua kwenda kwake
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.
Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.
Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.
Ukavaa nguo.
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi
Akakubusu katika shavu.
Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.
Akakupa Tsh 100,000. Ukatabasamu na kumwambia nitakuona kesho.
Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.
Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.
Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa, mchovu, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile.
Mimba, HIV+????
HOW??
Hauelewi
Inakuumiza sana, hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.
SISTERS MSIWE K**A HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNGEPENDA BINTI YAKO AJE KUWA HIVYO.
ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.
BINADAMU HAWANA DOGO
Ukimind endelea kugawa tu
Video za kufurahisha hujawahi kuona
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Video za kufurahisha hujawahi kuona, Library, Dar es Salaam.
Nilijaribu kupoteza muda wangu kwa
takribani miezi 6 kuzunguka insta,
nilichogundua..
1.Kila mwanamke kule ana gari...
Wote wamepiga picha na magari
2.Kila mwanamke kule ni mweupe
sijawai ona mwanamke mweusi
(shkamoo 360)
3.Kila mwanamke kule yupo chuo
kikuu na wengine wameshagraduate
tayari
4. Kila mwanamke kule anajua
kiingereza wote wanapost ingilishi tu
5.Kila mwanamke kule kwao dar
6.Kila mwanamke kule an makalio
makubwa hakuna flash
7. Afu nmegundua kule wanawake
wa nzega, shinyangaa, tandahimba
hawapoooo maana huwezi kukuta
Jina mutogobola nyalugaba, huwezi
kuku haika Moshiro manka, huwezi
kukuta Nkufumba Makunyangara,
kule wapo akina Trace, Jaylicious,
dequendiva, auntietiffa, neylicious,
quen hanurath baby.... Khaaaaaa
Shkamooo instagrama,😂😂😂😂
Hii nimeifuma sehem.
Mme na Mkewe.
Mke alimuomba Mumewe ampeleke kwenye harusi na usafiri wao,yaani (gari yao)Mume akamjibu Mkewe,Mke wangu Leo niko busy sana stoweza naomba nikupe hela tu ukapande Tax Mke akakubali,kaenda kupanda tax kakutana na mdada wakawa wawili walikuwa wanaelekea sehem moja,walikuwa hawafahamiani wakaanza kutambulishana sehem wanapoishi kumbe wanaishi mtaa mmoja ila sehem tofaut.walipofika wakasheherekea vizuri tu kwa furaha hapo walikuwa washakuwa marafiki, walipomaliza wakatoka nje wameshikana mikono siunajua mashosti tena, yule dada aliyokutwa kwenye tax akamuuliza shosti ake ambaye ni mke wa mtu,Shosti una usafiri?Yule dada akamjibu sina naenda kupanda tax,Shosti akamwambia usiende subiri nimpigie Boyfriend wangu aje kunichukua alafu na we utapanda coz tupo mtaa mmoja,Yule dada akakubali kweli wakasubiri Boy wake akaja.Kumbe Boyfriend wake shosti ni Mume wa yule dada.alipofika Shosti akapanda mbele na yule dada akapanda nyuma yaan (Mke kapanda nyuma mchepuko mbele)Shosti anamtambulisha best yake kwa Boy wake. Baby huyu ni rafki yangu tumekutana kwenye Tax nilivyokuwa naelekea kwenye harusi.hapo Mke alikuwa ameshamgundua kuwa ni Mumewe na alikaa kimya hakufanya chochote.Boy akamjibu okay na kumsalimia yule dada ambaye ni Mkewe HABARI YAKO DADA Mkewe akamjibu NZURI KAKA. Mume akashtuka akageuka nyuma akagundua ni Mkewe,hakusema chochote safari ikaendelea wakatangulia kufika kwa Mkewe yaan (Nyumbani Kwao)Mke akashuka wakaagana na rafki yake vizuri.Mume akaendelea na Safari ya kumpeleka Mchepuko ambaye ni rafiki wa mkewe.SWALI HILI HAPA JE UNGEKUWA WEWE NI MUME AU MKE UNGEFANYAJE??
02/02/2016
Taja majina maarufu yaliyokuwa yakitumika kwa mabasi ya abiria enzi hizo.
kupanda ukuta kwa ujasiri
02/02/2016
kweli?
02/02/2016
Hapo KUNATIKITI Ngapiii Mjanjaa abonge?Boya atapita
31/01/2016
mpe neno moja
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
14321
