19/04/2022
Mhe. Rais Samia akizungumza jambo na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS nchini Marekani Bi. Gayle King wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani Jijini New York source:
16/04/2022
“Miaka 61 iliyopita, Mw. Nyerere alisafiri kwenda Marekani kukutana na Rais Kennedy, White House. Kutoka mkutano huu wa kwanza, urafiki kati ya viongozi hawa wawili ukaweka msingi wa urafiki baina ya mataifa na watu wa nchi hizi 2” | 11 Aprili, 2022
16/04/2022
Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, na Kamala Harris, makamu wa rais wa kwanza mwanamke na mwanamke mwenye rangi nyeusi kushika nafasi ya Makamu wa Rais wa Marekani, wakicheka Ikulu wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
22/06/2021
MAMA SAMIA NDANI YA MSUMBIJI
_
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili leo uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika kesho.
01/05/2021
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete -JK
24/03/2021
Mhe.Samia Suluhu Hassan
Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
20/03/2021
PUMZIKA KWA AMANI HAYATI JPM
18/03/2021
PUMZIKA KWA AMANI BABA 🙏😭