02/06/2026
TUNAWASHUKURU WANA-ILALA KWA KUJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUWASHANGALIA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) - MHE. EDWARD MPOGOLO, MKUU WA WILAYA YA ILALA
Ukurasa rasmi wa Facebook wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
02/06/2026
TUNAWASHUKURU WANA-ILALA KWA KUJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUWASHANGALIA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) - MHE. EDWARD MPOGOLO, MKUU WA WILAYA YA ILALA
02/06/2026
02/06/2026
KUTOKA VIWANJA VYA TABATA SHULE WANANCHI WAKIONGIZWA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH EDWARD MPOGOLO WAKIFUATILIA MCHEZO WA FAINALI YA AFCON U17 KATI YA TANZANIA DHIDI YA SENEGAL
02/06/2026
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo akiwa na Viongozi pamoja na Wadau mbalimbali wa michezo katika Viwanja vya Tabata Shule Dar es Salaam mahali ambapo imewekwa big screen, tayari kuishuhudia fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana U17.
Fainali hiyo inatarajiwa kupigwa leo Juni 02, 2026 muda saa 4:00 usiku kati ya Senegal na Tanzania (Serengeti Boys)
02/06/2026
TUPO LIVE KUTOKEA VIWANJA VYA TABATA SHULE TUKISUBIRI KUANGALIA FAINALI YA VIJANA WETU (SERENGETI BOYS) KUPITIA BIG SCREEN.
LINAKUJA NYUMBANI!
| Monday | 07:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |
| Wednesday | 07:30 - 15:30 |
| Thursday | 07:30 - 15:30 |
| Friday | 07:30 - 15:30 |