Efatha Church Temeke

Directions Website Contact the organization

Efatha Church Temeke Efatha Church Temeke deals with the mission of healing and deliverance, containing 22 centers, under the Senior regional Pastor Ester Habakuki Hagai
(1)

this page is managed by Efatha ministry temeke, under Senior Regional Pastor Cecilia Mtunda Makundi, we intended to show how God fufill HIS promices to HIS people, basing on all the deads and events that are undertaken in all centres of Efatha Temeke, under control of ICT group of Efatha ministry Temeke, page lunchs all the events in image form and Videos, this is inorder to make all tongues, tribes, and nations to be disciples of The LORD Jesus christ of Nazareth, son of living God, as it is the vision given to the Apostle and Prophet JOSEPHAT ELIUS MWINGIRA, The anointed one.

Ni mwezi uliokubalika na Bwana kwa ajili ya ukombozi wa maisha yako! Hakuna neno, hali, wala jambo lililokusumbua kwa mu...
01/10/2026

Ni mwezi uliokubalika na Bwana kwa ajili ya ukombozi wa maisha yako!

Hakuna neno, hali, wala jambo lililokusumbua kwa muda mrefu litakaloendelea kukunyima furaha, amani na baraka ambazo Bwana amekukusudia.

Majira yako yamefika! Mambo ya zamani yanafikia mwisho, na Mungu anakuandalia mwanzo mpya wenye ushuhuda, neema na baraka.

Mwezi huu hautapita k**a miezi mingine β€” ni wakati wa ukombozi, urejesho na mwanzo mpya!
------------------------------------------------------------------------
This is a month ordained by the Lord for the redemption and restoration of your life!

No situation, no circumstance, and nothing that has troubled you for a long time will continue to rob you of the joy, peace, and blessings that the Lord has prepared for you.

Prepare yourself for something new! Open your heart and strengthen your faith for what the Lord is about to do in your life.

This month will not be like any other monthβ€”it is a season of redemption, restoration, and a new beginning!




'swill

Kwa kuwa ahadi ya Mungu ni kututendea mema tunapotii maagizo yake, ni muhimu kutimiza wajibu wetu wa kumtafuta na kukusa...
26/09/2026

Kwa kuwa ahadi ya Mungu ni kututendea mema tunapotii maagizo yake, ni muhimu kutimiza wajibu wetu wa kumtafuta na kukusanyika katika uwepo wake.

β›ͺ Kanisa la Efatha Mbagala linakualika katika Ibada hii maalum, kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Usikose nafasi hii ya:
πŸ™ Kumshukuru Mungu
πŸ”₯ Kuimarisha imani yako
πŸ™Œ Kumtafuta Mungu kwa ajili ya hatua zako za mwisho wa mwaka
✨ Kupokea neno na baraka kwa ajili ya msimu unaokuja

πŸ“ Njoo Kanisani Efatha kuabudu pamoja nasi!



'swill

Tabasamu zetu zina ujumbe mmoja: TUKUTANE PRECIOUS!Tunajiandaa kwa Kusanyiko Kuu 2026 kwa furaha na mioyo yenye kiu ya N...
25/09/2026

Tabasamu zetu zina ujumbe mmoja: TUKUTANE PRECIOUS!

Tunajiandaa kwa Kusanyiko Kuu 2026 kwa furaha na mioyo yenye kiu ya Neno la Mungu. Wewe je, uko tayari? Mwalike mwenzako, jiandae na uje tushiriki pamoja siku saba za Neno, maombi na ibada.

MAPENZI YA MUNGU, UKOMBOZI WANGU.

5–11 Oktoba 2026
Precious Centre, Kibaha, Tanzania.




MKESHA WA MA ASKOFU, WAINJIRISTI, CELL LEADERS, WALIMU WA MADARASA KATIKA KANISA LA EFATHA | IJUMAA | 19.09.2026 |Matuki...
19/09/2026

MKESHA WA MA ASKOFU, WAINJIRISTI, CELL LEADERS, WALIMU WA MADARASA KATIKA KANISA LA EFATHA | IJUMAA | 19.09.2026 |

Matukio katika picha ya Mkesha Kwa Ajili Ya maandalio Ya Kusanyiko Kuu 05-11.09.2026


15/09/2026

NENO: MKONO WA BWANA ( SESSION 2 )

● Mch kiongozi: Ester Hagai Habakuki



#

Mungu ana jambo kwa ajili yako, lakini usiache maandalizi yako yawe nyuma ya matarajio yako. πŸ™πŸ½πŸ“’ Mtaje mtu mmoja unayeta...
14/09/2026

Mungu ana jambo kwa ajili yako, lakini usiache maandalizi yako yawe nyuma ya matarajio yako. πŸ™πŸ½

πŸ“’ Mtaje mtu mmoja unayetaka aje pamoja nawe kwenye Kusanyiko!

πŸ”₯ maandalizi ni yako, lakini jawabu la ukombozi wako lipo Precious Centre Kibaha!



14/09/2026

NENO: MKONO WA BWANA

● Mch kiongozi: Ester Hagai Habakuki



#

MATOLEO: Kutoka 25:3 ("Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii dhahabu, na fedha, na shaba")K**a vile Mungu alivyoagiza...
13/09/2026

MATOLEO:

Kutoka 25:3 ("Sadaka utakayopokea mikononi mwao ni hii dhahabu, na fedha, na shaba")

K**a vile Mungu alivyoagiza kupokea dhahabu, fedha, na shaba kwa ajili ya maskani yake, kutoa sadaka ya kweli ni kumrejeshea Mungu kilicho bora na chenye thamani kutoka katika kile alichotubariki nacho, kwa moyo wa hiari na utayari wa kujenga Ufalme wake.


USHUHUDA: Bwana Yesu asifiwe, Naitwa jacobo Hagai Habakuki kutokea kutokea zone ya EMMANUEL Chini ya Askofu Jeni Edwin n...
13/09/2026

USHUHUDA:
Bwana Yesu asifiwe, Naitwa jacobo Hagai Habakuki kutokea kutokea zone ya EMMANUEL Chini ya Askofu Jeni Edwin ninamshukuru Mungu Mwenyezi kwa wema na uaminifu wake uliotufikisha siku ya ushindi tarehe 05.09.2026 nilipofunga ndoa na mke wangu mpendwa Tumaini, na ninatoa shukrani za dhati kwa Mchungaji Kiongozi Ester Hagai Habakuki ambaye pamoja na kuwa dada yangu amekuwa k**a mama katika malezi ya maisha yangu yote, Babu Fidelis aliyesimama nami kwa dhati tangu mwanzo wa maandalizi kuanzia mahari hadi hatua zote zilizofuata, familia ya Bwana Hosea Abasi kwa kuniongoza na kunijenga kwa ushauri wa busara, k**ati ya ndoa ya kanisani na k**ati yote iliyoratibu na kufanikisha shughuli nzima kwa ustadi, pamoja na kanisa kwa ujumla kwa michango yao ya hali na mali na kujitoa kwa moyo kufanikisha sherehe yetu Mungu wa mbinguni awabariki na kuwazidishia tele.


IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA EFATHA MBAGALA TAREHE 13.09.2026Zaburi 28:6-7[6]Na ahimidiwe BWANA. Maana ameisikia s...
13/09/2026

IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA EFATHA MBAGALA TAREHE 13.09.2026

Zaburi 28:6-7
[6]Na ahimidiwe BWANA.
Maana ameisikia sauti ya dua yangu;

[7]BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu.
Moyo wangu umemtumaini,
Nami nimesaidiwa;
Basi, moyo wangu unashangilia,
Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.


Address

Mbagala
Dar Es Salaam
P.OBOX41587

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Temeke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Efatha Church Temeke:

Shortcuts

Share