Mamlaka ya Elimu Tanzania
TEA ilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 8 ya Mfuko wa Elimu ya mwaka 2001 kifungu cha 5(1) ikiwa na jukumu la kusimamia na kuratibu Mfuko wa Elimu
Sasa hivi TEA inaendesha kampeni ya ujenzi wa hosteli za wasichana 30 zitakazohudumia wasichana 1,504 katika mikoa nane nchini. Jumla ya shilingi bilioni2.3 zinahitajika ili kukamilisha mradi huu. Tafadhali tunaomba mchango wako ili kuweza kukamilisha azma hii. Unaweza kuchangia kwa kupitia akaunti ya Mfuko wa Elimu iliyopo benki ya CRDB akaunti number 01J1027639900 “Mfuko wa Elimu.” au Mpesa numb
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Barabara Ya Kambarage , Kitaru Namba 717/3, Mikocheni
Dar Es Salaam
