UttAmis

UttAmis

Share

UTT AMIS
KAMPUNI YA SERIKALI INAYOSIMAMIWA NA MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI NA DHAMANA (CMSA), THAMAN

08/07/2024

Uwekezaji salama na nafuu
Je umekuwa ukisumbuka kutafuta sehemu salama ya kuwekeza pesa yako? Jipatie uhakika na usalama wa pesa yako leo kwa kuwekeza nasi kupitia mifuko yetu ya fedha.

📞Tupigie bure kupitia 0800 112020 kwa taarifa zaidi au tutumie barua pepe kupitia [email protected]/ [email protected]

Pakua App yetu ya UTT AMIS pia kupitia App Store ama Google Play

Photos from UttAmis's post 07/07/2024

SABASABA

Tembelea banda la UTT AMIS lililopo Banda la Wizara ya Fedha.
Karibu tukuhudumie🔥

Photos from UttAmis's post 05/07/2024

Tupo Sabasaba katika banda Wizara ya fedha
Usipitwe na fursa hii, katibu tuzungumze uwekezaji

Photos from UttAmis's post 05/07/2024

USHIRIKA, TABORA
Pamoja tunazungumza uwekezaji, tunapanga mipango yako ya kifedha pamoja,tunaipanga kesho yako bora leo kupitia fursa za uwekezaji zinazotolewa na UTT AMIS.

Usipitwe na fursa hii, tembelea banda letu lipo upande wa kulia kutoka lango kuu banda la sita kutoka kulia @ Maafhimisho ya siku ya Ushirika Tabora.

Photos from UttAmis's post 05/07/2024

Wawekezaji wakichangamkia fursa za uwekezaji katika banda la UTT AMIS kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani, yanayoendelea Mkoani Tabora katika viwanja vya Nanenane- Ipuli

05/07/2024

Je wajua? Mfuko wa Jikimu Fund hugawa mapato yake kila robo mwaka na kila mwaka

Mfuko huu unawapa wawekezaji fursa ya kupata mapato ya mara kwa mara na kufurahia ukuaji wa mtaji kwa muda mrefu.

📞Tupigie bure kupitia 0800 112020 kwa taarifa zaidi au tutumie barua pepe kupitia [email protected]/ [email protected]

Pakua App yetu ya UTT AMIS pia kupitia App Store ama Google Play

05/07/2024

Tupo katika banda la Wizara ya fedha, karibu tuzungumze uwekezajii na na namna ya kukuza kipato chako kupitia akiba yako.

03/07/2024

Je upo Tabora? tembelea banda la UTT AMIS katika Maadhisho ya Siku ya Ushirika Duniani yanayoendelea katika viwanja vya CCM Ipiuli mjino Tabora.
Tupo banda la sita(6) upande wa kulia kutoka lango kuu.

Huduma zifuatazo zinatolewa👇

▶️ELimu na ushauri kuhusu uwekezaji

▶️Kufungua account kwa mwekezaji mpya

▶️Kupata taarifa za account

▶️Kuuza na kununua vipande

✅KUMBUKA Kubeba PICHA yako (PASSPORT SIZE) pamoja copy ya KITAMBULISHO chako ili kukamilisha taratibu za kufungua account.

03/07/2024

Looking to grow your wealth but unsure where to start
We got you!
Our team of experts simplifies investing, making it accessible to all despite your income. Start your journey towards a brighter financial future today!

Start your investing journey now, checkout our website now, link on our bio or visit our offices at your location.

📞Call us via 0800 112020 for more information or email us through [email protected]/ [email protected]

Download our UTT AMIS App on App Store or Google Play

01/07/2024
29/06/2024

Sasa unaweza kuwekeza pesa zako kupitia NBC Kiganjani. K**a wewe una akaunti ya NBC, hamisha pesa zako moja kwa moja kutoka akaunti yako ya NBC kwenda akaunti yako ya uwekezaji ya uwekezaji ya UTT AMIS. Ni rahisi, fuata hatua hizi👆kuwekeza.

28/06/2024

Ukiwa na buku kumi tu unaweza kuanza kuwekeza kwenye mfuko wa Umoja Fund

Hakuna pesa ndogo kwetu, unaweza kuanza safari yako ya uwekezaji kwa BUKU KUMI tu ukiwekeza kwenye mfuko wa Umoja Fund kwa bei ya sasa ya kipande, kisha utaendelea kuongeza taratibu kulingana na uwezo wako. Unachelewa nini kuanza uwekezaji?

Anza kuwekeza leo na mfuko upendao, tembelea tovuti yetu, link kwenye bio au karibu ofisini kwetu.

📞Tupigie bure kupitia 0800 112020 kwa taarifa zaidi au tutumie barua pepe kupitia [email protected]/ [email protected]

ANGALIZO: Viwango tajwa ni kwa bei ya vipande ya sasa, fuatilia kurasa zetu kwa mabadiliko ya bei.

Pakua App yetu ya UTT AMIS pia kupitia App Store ama Google Play

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Sukari House
Dar Es Salaam
14825

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:00
Tuesday 08:00 - 15:00
Wednesday 08:00 - 15:00
Thursday 08:00 - 15:00
Friday 08:00 - 15:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00