07/02/2020
CRAVING TASTY HEALTHY FOOD?
Join us on 14 February, 2020 from 6 pm for DINNER & HEALTH TALK at the BARRICK building, Victoria, Dar es salaam.
INVESTMENT: 10,000/=Tsh
Click the link below book your seat now!
https://wa.me/255718854518
PS: YOU CAN BRING YOUR LOVELY ONE TOO❤
10/06/2017
HAYA NDIYO MADHARA YA CHIPS
Chips ni aina ya chakula ambayo hupendwa na watu wengi na pia ni miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi.
Chakula hiki chenye mafuta mengi yanapoingia mwilini huenda kuzunguka viungo vya mwili wa mwanaadam. Ikiwa mtu anakula chips na hafanyi mazoezi madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo.
Hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanaugua magonjwa mengi yana yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao ambayo huchangiwa na kutofanya mazoezi.
Vyakula vingi vyenye mafuta mengi hupelekea pia kuongezeka unene na uzito. BBC
Kwa tips za afya, kupunguza uzito, mafuta mwilini wasiliana nasi kupitia
0718854518/ 0766605617
Call/ text/ whatsapp
Follow our page on Facebook Health, Nutrition and Wellness Lifestyle to learn more on how to maintain your health.
07/03/2016
Hey Ladies!
It is our time to get together, empower ourselves and make plans on how we are going to march forward confidently towards success.
Come and hear success stories of successful women in Tanzania, learn how they managed to get where they are now and how they are going to help you get where they are now.
Don't be a woman that needs a man.
Be a WOMAN that a man NEEDS.
27/02/2016
Hii ni kwa ajili yetu wote tunaoamini kazi ndio suluhisho la matatizoyetu.
''Having many certificates is not a big deal.
It is a big deal to have and live your dream life.
Your lifestyle is what matters''
Tatizo si kuwa na cheti, k**a issue ni cheti ukijihesabu unavyo k**a 6 au vi 5. Issue ni kivipi vyeti vinakusaidia k**a havikusaidiii tupa kuleee.
Tafuta mbinu ya kujikwamua kiuchumi, achana na kazi ooh nna cheti. Hebu tubadilike wenzetu walioendelea washapita huko siku nyingi.
?
20/02/2016
As of 2014, Tanzania had an estimated population of 47.4 million. International Monetary Fund and World Bank Group (WBG) among other development partners have supported the East African nation to make important economic and structural reforms and sustain its economic growth rates.
Despite looming poverty in the country, the new political leader, President John Magufuli is a promising change to the country. He is already in the process of minimizing the country’s overspending by cutting cost of unnecessary government spending.
According to WBG, by 2014 the gross domestic product of the country stood at 7.0% with the main contributors being; trade, construction, agriculture and transport sectors.
Here is a look into the country’s GDP:
2015 GDP: +7.20%
2016 GDP: +7.10%
2017 GDP: +7.10%
2014-2017 GDP CAGR: +7.15%
Economy: Tanzania has recently seen high growth rates because of gold production and tourism. The economy also runs on telecommunications, banking, energy, and mining, as well as agriculture. In terms of per capita income, however, the country is one of the poorest in the world.
Source: World Bank, CIA World Factbook
29/01/2016
Politician and Politics. How to get voters.
29/01/2016
"TAMBUA NAMNA YA KUPATA MCHUMBA ANAEKUFAA"
Watu wengi wanatafuta wa chumba wa kufunga nao Ndoa lakini hawajui ni vitu gani vya kutambua mchumba anaefaa!,wasichana wengi wa siku hizi huangalia Mali kwanza za mwanaume anaewataka kuwaoa kwa lengo la kupata (financial security/Financial Freedom)yani uhakika wa maisha mazuri watakapoolewa,kutokana na hivyo wasichana wengi huwakataa wanaume wenye uwezo mdogo wa kiuchumi,Dhana k**a hiyo iliojengeka kwa baadhi ya wasichana ni potofu,mwanaume mzuri hapimwi kwa kiasi cha pesa alichokuwa nacho Bali kwa "civilization" ustaarabu wake/utu,"potential "nafasi aliokuwa nayo ama uwajibikaji wake katika kutafuta Riziki yake na jambo la mwisho ni " Vision " maono,mwanaume mzuri hutambuliwa kwa maono yake,anaweza akawa maskini leo baada ya miaka kadhaa akawa tajiri,mbunge,waziri ama Raisi kutokana na "vision" yake,sifa za mwanamke anaefaa kuolewa lazima awe na"obedience" utii,tena anatakiwa awe na tabia ya kutii bila shuruti sio "too much Argumentative"mwanamke hatikiwi kuwa mbishi sana!,awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani na anatakiwa awe na matumizi mazuri ya pesa!,mkarimu na mchamungu vitabu vya Dini vinasema " mke mwema anatoka kwa bwana/mungu"hata k**a akiwa na muonekano mzuri k**a malaika lakini akiwa hana hizo tabia hafai kuolewa kwa sababu uzuri wa umbo ama sura hauwezi kubaki mda wote hivyo hivyo utapungua tu kutokana na umri hata hivyo uzuri hauwezi kupika chakula Bali ni vitendo.
"NI BORA UKOSEE KUJENGA NYUMBA KULIKO UKOSEE KUOA/KUOLEWA"
Nawatakia siku njema!
By Lyashanwa Abdallah