UVCCM Tabata Kisukuru

UVCCM Tabata Kisukuru

Share

Umoja wa Vijana wa CCM kata ya Kisukuru. Dhumuni ya kurasa hii ni kuwashirikisha namna vijana wa Kis

27/10/2025
26/10/2025

Mimi Lucy Jeremia Lugome Naomba tarehe 29 Mkanipigie kura niwe Diwani wa Kata ya Kisukuru. Peke yangu sitoshi kuleta maendeleo ya Kata yetu

Namuombea kura za kishindo Mbunge wa Jimbo la Segerea Bonna Kamoli tuweze kufanya kazi na kuleta maendeleo katka Kata yetu ya Kisukuru

Kwaheshima kubwa ninamuombea kura za kishindo mama yetu kipenzi Mama mwenye Hekima na Busara kubwa Dr Samia Suluhu Hassan

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kisukuru
Dar Es Salaam