15/01/2019
Kilimo Bora.
Tanganyika Agricultural And Marketing Co operative Society Limited
15/01/2019
Kilimo Bora.
23/12/2018
Tanganyika Amcos Ltd inawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya.
19/10/2017
Mgeni rasmi Dolashazi B. Venas Mwenyekiti Tamcos Ltd mahafari ya kidato cha nne Mishamo Secondary.
19/10/2017
Mahafari ya kidato cha nne mishamo Secondary.
Mgeni rasmi Dolashazi B. Venas mwenyekiti Tamcos Ltd.
Tunawataki kila la kheri na masomo mema.
Kuna utofauti mkubwa kati ya AMCOS na TGCS katika ushirika
Familia ya Chama cha msingi mishamo Tamcos Ltd inapanda kuwataarifu watu wote kuwa baada ya mkutano mkuu wa mwaka wa 7 wanachama walipitisha masherti mpya ya Chama hivyo Chama kimebadili jina na kuitwa TANGANYIKA AMCOS LTD. Ili kuweza kushiriki katika kilimo mchanganyiko na siyo tumbaku pekee k**a ilivyo kuwa awali. Mungu awabaliki sana kalibuni TANGANYIKA AMCOS LTD
Graph ya ununuzi wa Tumbaku k**a itaendelea kushuka ni vema kuwa na zao mbadala ili pamoja tuendelee kujenga uchumi imara zaidi
All right
Hakika anaepinga au kuhujumu Ushirika anampinga Mungu kwani Ushirika ulianzishwa na Mungu mwenyewe alipo muumba Adam akampa mshirika Wake Eva.
03/07/2016
Chama cha msingi Rupa chunya mbeya