Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

Share

TanTrade ni chombo cha Serikali chenye Mamlaka ya Udhibiti, Utendaji na Ushauri wa Kuendeleza na K*k

01/06/2026

The wait is almost over Just 26 days until Sabasaba. Letโ€™s make it unforgettable.

01/06/2026
31/05/2026

Where attention goes, business grows. 28 Days to SabaSaba 50.

29/05/2026

Countdown mode: 29 days to Saba Saba ๐Ÿšฆ

28/05/2026

Je Wajua ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

28/05/2026

30 days left, Sabasaba bouta shut the whole city!

โ€œDonโ€™t miss this. Itโ€™s bigger than ever.โ€

Photos from Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania's post 26/05/2026

Latifa M. Hamis akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) baada ya kikao cha Baraza hilo kilichofanyika leo, tarehe 26 Mei 2026, Zanzibar.

26/05/2026

SASA TUPO UBUNGO

Ewe Mwananchi, Mfanyabiashara, Mjasiriamali na Mkazi wa Maeneo ya Ubungo, Gari letu la Matangazo ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (SabaSaba) limekufikia ulipo. Sogea karibu upate fursa ya kupata taarifa muhimu kuhusu Maonesho ya SabaSaba 2026, njoo ujifunze huduma mbalimbali zitakazokuwepo pamoja na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo tiketi za kushuhudia maonesho ya Sabasaba 2026.
2026, Kubwa Kuliko #

Photos from Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania's post 26/05/2026

BARAZA LA WAFANYAKAZI TANTRADE LA JADILI MIKAKATI YA MAENDELEO YA BIASHARA NCHINI.
_____________________
Zanzibar
25 Mei, 2026.

Kamati Tendaji ya Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imekutana na kujadili masuala muhimu yanayolenga kuimarisha utendaji wa taasisi kikao kimeongozwa na Mwenyekiti Dkt. Latifa M. Khamis Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade. Katika kikao hicho, wajumbe walipokea na kujadili uwasilishaji wa wawakilishi wa wafanyakazi kuhusu hali ya utendaji wa taasisi, wakitoa maoni na mapendekezo ya kuboresha ufanisi katika utoaji huduma.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


S. L. P 5402
Dar Es Salaam