Chid t√

Chid t√

Share

public figure

16/06/2019

CHOZI LA MZIMU WA MAMA.sehemu ya 1
(Mwandishi chid wacharz)____
∆Pichani ni mtoto joeli,alieishi na mnyorolo shingoni kwa miaka kumi(10) sasa..chanzo cha habari kinasema baada ya mama ake mzazi kufaliki baba ake aliamua kuoa mwanamke mwingine,,baada ya familia hiyo kuishi kwa siku chache.siku moja kijana alienda kusafisha kabuli la mama ake na alipotoka mama ake wa kambo alimkanya lakini kijana hakusikia kwani alipenda kuangalia na kusafisha mahali alipolala mama ake...mapigo na manyanyaso kutoka kwa mama ake wa kambo joeli hakusita kwenda kumtembelea mama ake kabulini na kusafisha nyuma hiyo ya milele ya mama ake,,kijana alizoelewa na mizimu ya makabulini na akawa rafiki wa marehemu waliozikwa makabulini hapo kwani hata ndugu wa marehemu hao walichukua mda mrefu kuona na kusafisha mahari pa ndugu zao hali iliyokuwa ya tofauti kwa joeli,,,,baada ya miezi kadhaa mke wa baba ake joeli(mama wa kambo) alishika ujauzito,ujauzito huo ulikaa miezi saba tu akajifungua mtoto wa ajabu sana hali hiyo ilileta maswali mengi sana kwa ndugu hata mume wa mama huyo...mama alipoulizwa hakuwa na cha kusema zaidi ya kumtupia mpira joeli(kumsingizia) alisema "nlipokuwa na ujauzito wa miezi miwili joeli alinichukia sana,siku moja nilimtuma sokoni hakwenda badala yake alikwenda makabulini na alipotoka huko alikuja na kuniita weeee mwanamke.nikamjibu npo bafuni naoga ndipo akaja bafuni,nilistaajabu sana joeli kuja bafuni ingali Mimi ni mtupu bila nguo hata moja,alikuwa anakisu kikali kilichonitia simanzi na alisema endapo nitapiga kelele atanitoboa tumbo langu nikaamua kukaa kimya....aliniamulu nilale chale ndipo alipo chukua dawa aliopewa na mzimu wa mama ake hko makabulini na akaipaka kwenye uume wake kisha akaniamulu tufanye mapenzi,,huku akilia ..alinibaka..kutokana na woga wa kuogopa kutobolewa tumbo langu nilikubali" baba ake joeli baada ya kusikia hvyo alikasilika sana na kuamulu ____________________________________ sehemu ya pili...ya mkasa huu wa kusisimua

24/09/2018

Leo ni siku ya mwisho ya maomvolezo ya wenzete walio tangulia belee za hakiii kituuu pekee cha kuomba kwa mwenyezi ni faraja kwa wafiwa plz share ujumbe huu ili tuweze kuwaombea ndugu zetu wapumzike kwa amanii

16/09/2018

Kuna wakati inabidi umwache tuu aende xio kwamba umechoka kumpenda ila unahitaji kujipumzixha kutokana na maumivu anajo kuxababixhia ...japo moyo hugombana na nafci pindi nafsi inapohitaji kujipumzisha na moyo unaxema kumbuka Yale ya nyumaaaa

16/09/2018
21/07/2018

Chid t√

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam