FUNDI UMEME TZ

FUNDI UMEME TZ

Share

KUWAJIBIKA KWAJAMII BILAKUCHOKA

01/02/2022
22/01/2022

Mafundi tukumbuke fani yaumeme sio Kazi balinikipaji/ujuzi kutokakwamungu tukindeehaki maishayote tuipendepia.

31/12/2021

"E.P ELECTRICAL INSTALLATIONS INVESTMENT"
Hinawatakia Heri yamwaka Mpya 2022 wadauwake wooote.

09/12/2021

"E.P ELECTRICAL INSTALLATIONS INVESTMENT"
Inakutakia maadhimisho mema ya siku ya Uhuru Tanzania.
UMOJA/AMANI VIENDELEE KUDUMU DAIMA MIONGONI MWETU.

Call:0713804661.
WhatsApp:0765733028.
Email: [email protected]

Photos from FUNDI UMEME TZ's post 08/12/2021

Huu niuchafu,lakini umeme unawaka eti

29/11/2021

Hallow!!💕

07/11/2021

GENERATOR.
Generator nikifaakinachobadilj NGUVU yamitambo kuwanguvu yamitambo.
KUZALISHAUMEME KWA GENERATOR.
Ilikuelewavema shughulihii nivizuri kuelewa kuwa umeme nishati ambayoinatokana namtiririko waviasili au chembechembe ndogosana ambazozinapita ndani yaway(Conductor),viasilihivi vinaitwa Elekroni,Elekroni zinapopita kwa mabilioni ndani yawaya tunaziita UMEME.

NJIA MBALIMBALI ZA KUZALISHA UMEME.
a)Kwakutumia kemikali kamakwenye Betri.
b)Kwakutumia NGUVU za Sumaku kamakwenye Genetor.

Kiasi chaumeme ufuliwao hutegemea:-
a)Urefu wa ways ndaniyaeneo lenye usumaku.
b)Kiasi chamwendo wa ways.
c)NGUVU ya Usumaku.
d)Kuwe navikusanyio vyakujumwisha Umeme unaozalishwa katikanyaya zote(Brashi Umeme).

MOTA.
MOTA nikifaa kinachobadilinguvu YAUMEME kuwanguvu yamitambo.

Kizuizi chaumeme katikawaya hutegemea Mambo matatu:-
a)Urefu wa waya.
b)Unene wa waya.
c)Aina ya madini.

NEXT:TRANSFOMA.
Phone Call:0713804661.
WhatsApp:0765733028.

E-mail: [email protected]
Follow/Like: YouTube, page, Instagram: Emily Pangisa.
Thanks.

17/10/2021

Tomorrow is Monday,new week 18.10/2021😅😅

08/10/2021

Hallow

30/09/2021

"E.P ELECTRICAL INSTALLATIONS INVESTMENT TZ-SINCE 2007"
Nimafundi Umeme wamajumbani,Wafungaji wasolar, Electrical Fance.
Phone:0713 804661.
WhatsApp:0765733028.
Instagram/YouTube/Facebook: Emily pangisa.
Email: [email protected]
WERCOM.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kimara Mwisho
Dar Es Salaam