01/05/2026
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini husimamia utekelezaji wa Sheria ya vyama vya Siasa ya mwaka1992 na Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010
01/05/2026
15/04/2026
Bofya link kupata orodha na mawasiliano rasmi ya vyama vyenye usajili kamili �https://www.orpp.go.tz/uploads/documents/sw-1776159118-ORODHA%20YA%20VYAMA%20VYA%20SIASA%20CURRENT%20AS%20AT%20JANUARI%2020_260414_121940.pdf
10/04/2026
Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mutungi amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Kikao hicho ni sehemu ya ziara ya Mhe. Chakwera nchini ambapo anakutana na makundi mbalimbali ya wanasiasa, taasisi na viongozi wa Serikali. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 10 Aprili 2026 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa zilizopo Mtaa wa Shaban Robert Jijini Dar es Salaam.
10/03/2026
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji(Mstaafu) Francis Mutungi, leo jijini Dar es Salaam, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa katika Umoja wa Afrika(UNOAU) Bw. Parfait Onanga-Anyanga. Kwenye mazungumzo yake na mwakilishi huyo wa Katibu Mkuu Jaji Mutungi alimweleza hatua mbalimbali ambazo ofisi yake ilizichukua kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa na mazingira bora ya demokrasia ya vyama vingi.
26/09/2025
SALAMU ZA POLE
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |
| Wednesday | 07:30 - 15:30 |
| Thursday | 07:30 - 15:30 |
| Friday | 07:30 - 15:30 |
