10/05/2026
Mama ndiye moyo wa familia na mawasiliano ndiyo moyo wa mahusiano.
Katika siku hii maalum ya kina Mama,TTCL tunawaenzi akina mama wote wanaotumia upendo wao kuunganisha familia kila siku.
Endelea kuwa karibu na mama yako kupitia huduma bora za mawasiliano za dakika,SMS na Faiba yenye kasi ya Supersonic Experience.
Happy Mother’s Day to all amazing mothers!
08/05/2026
Jipimie utakavyo ukiwa na Bufee Tena kutoka TTCL. Pata Mb,Sms na dakika kadiri utakavyo kwa gharama nafuu.
Piga *148*30 # kujiunga na Bufee Tena na ufurahie wikiendi yako.
06/05/2026
Peruzi,pakua na ujisomee mtandaoni ukiwa na TTCL Wi-Fi.
Kwa bei nafuu na kwa urahisi zaidi.
Washa Wi-Fi yako kisha fuata maelekezo.
Maisha ya kidijitali mkononi mwako.
-Fi
06/05/2026
Chagua kasi inayoendana na maisha yako.
Jiunge na TTCL Faiba Mlangoni Kwako ufurahie Supersonic Experience.
Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au tupigie 0733 600060 tukufungie buree leo.
06/05/2026
Kwetu raha tu,hakuna kipengele tumia bila mipaka na ufurahie maisha ya kidijitali.
Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie timu ya Mauzo 0733600060
Ukiomba huduma Leo tunakufungia ndani ya sa 24
04/05/2026
Jiachie kwenye kibweta na Intaneti kwa gharama nafuu
04/05/2026
Ndoto zenu zipo mikononi mwenu,kila la kheri katika mtihani wenu wa Taifa.