TTCL Corporation

TTCL Corporation

Share

Welcome to the official page of TTCL Corporation! While we keep you updated, we are at your

The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.Currently provides voice and data communication services, to business and residential customers in Tanzania. The Company also provides network services to other licensed telecom operators.

10/05/2026

Mama ndiye moyo wa familia na mawasiliano ndiyo moyo wa mahusiano.
Katika siku hii maalum ya kina Mama,TTCL tunawaenzi akina mama wote wanaotumia upendo wao kuunganisha familia kila siku.

Endelea kuwa karibu na mama yako kupitia huduma bora za mawasiliano za dakika,SMS na Faiba yenye kasi ya Supersonic Experience.

Happy Mother’s Day to all amazing mothers!





08/05/2026

Jipimie utakavyo ukiwa na Bufee Tena kutoka TTCL. Pata Mb,Sms na dakika kadiri utakavyo kwa gharama nafuu.

Piga *148*30 # kujiunga na Bufee Tena na ufurahie wikiendi yako.



07/05/2026

Karibu
Maisha ya Kidigitali yanaanzia hapa kupitia intaneti yenye kasi ya Faiba.

07/05/2026

✨ Maisha ya kidigitali yanaanza hapa!
Tembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre ujionee huduma za internet zenye kasi na uhakika kutoka TTCL Faiba


Streaming, gaming, online classes na biashara — vyote vinaenda bila kusuasua! 🌍💻

06/05/2026

Peruzi,pakua na ujisomee mtandaoni ukiwa na TTCL Wi-Fi.
Kwa bei nafuu na kwa urahisi zaidi.
Washa Wi-Fi yako kisha fuata maelekezo.

Maisha ya kidijitali mkononi mwako.



-Fi

06/05/2026

Chagua kasi inayoendana na maisha yako.
Jiunge na TTCL Faiba Mlangoni Kwako ufurahie Supersonic Experience.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au tupigie 0733 600060 tukufungie buree leo.




06/05/2026

Kwetu raha tu,hakuna kipengele tumia bila mipaka na ufurahie maisha ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie timu ya Mauzo 0733600060

Ukiomba huduma Leo tunakufungia ndani ya sa 24



04/05/2026

Sababu tano Kwa Nini uchague


04/05/2026

Jiachie kwenye kibweta na Intaneti kwa gharama nafuu



04/05/2026

Ndoto zenu zipo mikononi mwenu,kila la kheri katika mtihani wenu wa Taifa.




01/05/2026

Usikubali kubaki nyuma jiunge na ulimwengu wa kidigitali leo ufurahie intaneti yenye kasi bila mipaka.

Wasiliana nasi kwa 0733 600060 au tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma tukufungie buree leo.




Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


EXTELCOMS HOUSE, SAMORA Avenue
Dar Es Salaam
9070

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00